Zuhura Yunus anazungumza na waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam, Juni 6, 2024

Huyu Zuhura Yunus ndiye anamzibia mwanetu Lucas Mwashambwa kuteuliwa kushika huo wadhifa.
Kunifananisha Mimi na Mheshimiwa Zuhura Yunusi ni kumkosea pakubwa sana heshima na adabu Mheshimiwa Zuhura Yunusi.Ni kumdhalilisha na ni kumshushia heshima yake kubwa aliyojijengea ndani na nje ya Taifa letu na Duniani Kwote. Yaani mimi unilingaishe na Mh Zuhura aliyefanya kazi kwenye shirika kubwa La utangazaji la BBC? Embu acha dharau zako bwana hata kama ni utani basi huu umezidi pakubwa sana..mimi sina uwezo hata wa kusimama aliposimama Zuhura Yunusi. Ni sawa na kulinganisha mlima Kilimanjaro na tuta la karanga Mbozi huko.

Ningekuwa mimi ni Rais na nikataka kuteua Mkurugenzi Mkuu wa kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais ikulu,kwa hakika bila kuchelewa ningemteua Mheshimiwa Zuhura Yunusi .kwa sababu anauwezo mkubwa ,uzoefu mkubwa katika Tasnia ya Habari tena kutoka chombo kikubwa kabisa cha habari hapa Duniani yaani BBC.

Lakini pia kama ingekuwa ni nafasi inapendekezwa halafu nikakuta tu jina langu lipo pamoja na la Mheshimiwa Zuhura Yunusi.basi mimi haraka sana ningejitoa na kumuachia nafasi hiyo Mheshimiwa Zuhura Yunusi. Hii ni kwa kuwa Zuhura ni Dada mwenye uwezo mkubwa,kipawa cha kipekee,ubunifu wa kipekee na Uwezo ambao sina wa kumfananisha naye hapa Nchini. Hivi unafikiri ni kazi nyepesi kupata kazi na mpaka akaaminiwa kuwa sehemu ya shirika la utangazaji la BBC Uingereza?

Kama ni viatu basi naweza kusema kiatu cha Mheshimiwa Zuhura Yunusi hakuna anayeweza kukivaa kikamtosha. Kwa kazi nzuri anayoifanya na Ubunifu wake wa kutoa mrejesho kila baada ya ziara ya Mheshimiwa Rais pamoja na mambo mengi ambayo amekuwa akifanya .Namuomba Mungu na Mheshimiwa Rais Aendelee kumuamini na kumuacha katika nafasi hiyo mpaka 2030. Na hata pia Atakaye kuja naamini hawezi kumuondoa Mheshimiwa Zuhura katika nafasi hiyo.

Naomba sana tuwe tunaheshimu Uwezo wa watu kuliko kuanza kuwadhalilisha kwa kuwafananisha na watu ambao ni Mbingu na ardhi.
 
Mbona kazi anayofanya zuhura hata wee ungeweza,mbona we uko vzr sana+propaganda

Ova
 
Wewe na Zuhura kama kuna tofauti ni mshahara na jukwaa la kazi. Jiamini.
 
Mimi ni kama kichuguu tu mbele ya Mheshimiwa Zuhura Yunusi ambaye ni kama Mlima Kilimanjaro. Mimi napenda sana kutambua uwezo wa mtu ,.sinaga wivu wala roho mbaya.ukiwa vyema katika eneo fulani la kazi huwa sioni haya wala aibu kukupa pongezi na heshima yako.
 
Unapotambua wengine wewe unatambuliwa na nani? Wengine kama mimi ndo nakuambia tofauti yako na Zuhura ni mshahara na jukwaa la kazi.
 
Mbona kazi anayofanya zuhura hata wee ungeweza,mbona we uko vzr sana+propaganda

Ova
Mheshimiwa Zuhura Yunusi ni kama Mlima Kilimanjaro,halafu mimi ni kama kichuguu tu. Hivi unaanzia wapi kujifananisha ni mtu aliyeaminiwa hadi na shirika kubwa la utangazaji kama BBC? Unafikiri ni kazi nyepesi na rahisi kufika pale? Usaili tu huo unafikiri ni Mwepesi? Tukubali kumpa heshima yake Dada yetu Mheshimiwa Zuhura Yunusi na siyo kumdhalilisha kwa kuanza kumfananisha na watu kama Mimi. Huko ni kumshushia heshima Dada yetu Mheshimiwa. Zuhura Yunusi.
 
Ila Nape anadharau sana,bahati nzuri Mungu hakumjalia akili.Yani sehemunkama hiyo anakaa amekunja Nne mguu.
 
Mheshimiwa Zuhura Yunusi ni kama Mlima Kilimanjaro,halafu mimi ni kama kichuguu tu. Hivi unaanzia wapi kujifananisha ni mtu aliyeaminiwa hadi na shirika kubwa la utangazaji kama BBC? Unafikiri ni kazi nyepesi na rahisi kufika pale? Usaili tu huo unafikiri ni Mwepesi? Tukubali kumpa heshima yake Dada yetu Mheshimiwa Zuhura Yunusi na siyo kumdhalilisha kwa kuanza kumfananisha na watu kama Mimi. Huko ni kumshushia heshima Dada yetu Mheshimiwa. Zuhura Yunusi.
Wewe ndy unamuona mlima,sema hyo nafasi kaipata sawa..
Huyo zamani alikuwa muandaaji wa maconcert tu ya miziki ya huko pool side nk..kajiongeza kawa mtangazaji mara ndy vile tena
Kijana maisha hayana formula,Acha kujishusha hata wee unaweza ukapata nafasi kama yake,kikubwa wakuonee tu

Ova
 
Kunifananisha Mimi na Mheshimiwa Zuhura Yunusi ni kumkosea pakubwa sana heshima na adabu Mheshimiwa Zuhura Yunusi.Ni kumdhalilisha na ni kumshushia heshima yake kubwa aliyojijengea ndani na nje ya Taifa letu na Duniani Kwote. Yaani mimi unilingaishe na Mh Zuhura aliyefanya kazi kwenye shirika kubwa La utangazaji la BBC? Embu acha dharau zako bwana hata kama ni utani basi huu umezidi pakubwa sana..mimi sina uwezo hata wa kusimama aliposimama Zuhura Yunusi. Ni sawa na kulinganisha mlima Kilimanjaro na tuta la karanga Mbozi huko.

Ningekuwa mimi ni Rais na nikataka kuteua Mkurugenzi Mkuu wa kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais ikulu,kwa hakika bila kuchelewa ningemteua Mheshimiwa Zuhura Yunusi .kwa sababu anauwezo mkubwa ,uzoefu mkubwa katika Tasnia ya Habari tena kutoka chombo kikubwa kabisa cha habari hapa Duniani yaani BBC.

Lakini pia kama ingekuwa ni nafasi inapendekezwa halafu nikakuta tu jina langu lipo pamoja na la Mheshimiwa Zuhura Yunusi.basi mimi haraka sana ningejitoa na kumuachia nafasi hiyo Mheshimiwa Zuhura Yunusi. Hii ni kwa kuwa Zuhura ni Dada mwenye uwezo mkubwa,kipawa cha kipekee,ubunifu wa kipekee na Uwezo ambao sina wa kumfananisha naye hapa Nchini. Hivi unafikiri ni kazi nyepesi kupata kazi na mpaka akaaminiwa kuwa sehemu ya shirika la utangazaji la BBC Uingereza?

Kama ni viatu basi naweza kusema kiatu cha Mheshimiwa Zuhura Yunusi hakuna anayeweza kukivaa kikamtosha. Kwa kazi nzuri anayoifanya na Ubunifu wake wa kutoa mrejesho kila baada ya ziara ya Mheshimiwa Rais pamoja na mambo mengi ambayo amekuwa akifanya .Namuomba Mungu na Mheshimiwa Rais Aendelee kumuamini na kumuacha katika nafasi hiyo mpaka 2030. Na hata pia Atakaye kuja naamini hawezi kumuondoa Mheshimiwa Zuhura katika nafasi hiyo.

Naomba sana tuwe tunaheshimu Uwezo wa watu kuliko kuanza kuwadhalilisha kwa kuwafananisha na watu ambao ni Mbingu na ardhi.
Hapo umeingia vizuri kabisa. Kwa maelezo yako haya marefu kama mkojo wa asubuhi ni haki kabisa wewe uitwe kidampa na chawa mwandamizi. Hongera dogo.
 
Mimi ni kama kichuguu tu mbele ya Mheshimiwa Zuhura Yunusi ambaye ni kama Mlima Kilimanjaro. Mimi napenda sana kutambua uwezo wa mtu ,.sinaga wivu wala roho mbaya.ukiwa vyema katika eneo fulani la kazi huwa sioni haya wala aibu kukupa pongezi na heshima yako.
Usilalamike tena kuitwa kidampa
 
Machawa kazini wamerudi wanajiandaa kwenda US...sasa wanapiga sanaaa
 
Back
Top Bottom