Zuhura Yunus kaboronga wapi mpaka kutolewa Ikulu?

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu salama?

Nadhani mmeona mkeka wa mama, Zuhura Yunus kaondolewa kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu mpaka kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu).

Zuhura atakuwa kamkorofisha wapi mama mpaka katolewa Ikulu? Au ndio anapikwa kuja kuwa Waziri baadaye?

Kuna mtu alidokeza X Zuhura anataka kuondolewa... je, kuna fukuto nyuma yake? Baadhi ya majirani zetu Kenya walimpa za uso Zuhura baada ya details za mkopo wa Korea kuvuja. Je, hii ndio inaweza kuwa sababu?

zuhura.jpg

zuu.jpg
zuuu.jpg
zuuuu.jpg


=====

Pia soma: Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu
 
Wakuu salama?

Nadhani mmeona mkeka wa mama, Zuhura Yunus kashushwa kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu mpaka kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu).

Zuhura atakuwa kamkorofisha wapi mama? Au ndio anapikwa kuja kuwa Waziri baadaye?

=====

Pia soma: Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu
Labda aliVuJisha issue ya Korea kupewa bahari na madini
 
Back
Top Bottom