Ikulu T
JF-Expert Member
- Aug 21, 2023
- 1,600
- 4,714
Upo huku tanau 2014 vitu vya kijinga vinakupiga chengaπππππππππππ
Ulale Unono π
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo huku tanau 2014 vitu vya kijinga vinakupiga chengaπππππππππππ
Ulale Unono π
Naunga mkono hoja,hafai Bora ameondolewa.Wakuu salama?
Nadhani mmeona mkeka wa mama, Zuhura Yunus kaondolewa kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu mpaka kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu).
=====
Pia soma: Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu
Hahaha
Safari mzee, SAFARI EHH!!Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ni cheo Kikubwa kuliko Mkurugenzi-ki msingi amepanda cheo.
Katibu Mkuu>>Naibu Katibu Mkuu>>>Mkurugenzi>>>>Mkurugenzi Msaidizi.
Kwa logic yako hata mpishi wa ikulu akiteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya utasema kashushwa cheo kisa katolewa Ikulu na kupelekwa wilayaniPovu linakutoka ukiwa wapi Mkuu, kama nimekosea rekebisha.... Kutoka Ikulu mpaka kuwa Naibu Katibu Mkuu chini ya Waziri Mkuu anakuwa amepanda?
Ndio kuachika hukoWakuu salama?
Nadhani mmeona mkeka wa mama, Zuhura Yunus kaondolewa kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu mpaka kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu).
Zuhura atakuwa kamkorofisha wapi mama mpaka katolewa Ikulu? Au ndio anapikwa kuja kuwa Waziri baadaye?
Kuna mtu alidokeza X Zuhura anataka kuondolewa... je, kuna fukuto nyuma yake? Baadhi ya majirani zetu Kenya walimpa za uso Zuhura baada ya details za mkopo wa Korea kuvuja. Je, hii ndio inaweza kuwa sababu?
=====
Pia soma: Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu
Kuwa houseboy ikulu si sawa na kuwa mkurugenzi wa halmashauri..Kuwa Naibu Katibu Mkuu ni kushushwa cheo. Wengine muwe mnasubiri maelezo ya wanaelewa mambo. Itawasaidia kuficha upumbavu
Hata waje kina Msigwa 100 Samia hana maajabu.Mtu pekee aliyeitendea haki kurugenzi ya habari ni Msigwa, alijua kum-brand boss wake, japo alikuwa chinja chinja
Huna akili kuna mtu alikuwa anamuendeshe rais saiv ni omba ombaKuwa houseboy ikulu si sawa na kuwa mkurugenzi wa halmashauri..
Ameshuka cheo. Mkurugenzi wa mawasiliano ya raisi ikulu. Alikuwa jikoniNaibu Katibu Mkuu wa Wizara ni cheo Kikubwa kuliko Mkurugenzi-ki msingi amepanda cheo.
Katibu Mkuu>>Naibu Katibu Mkuu>>>Mkurugenzi>>>>Mkurugenzi Msaidizi.
M16 ni ya uingereza, labda ungesema TISSZuhura ni MI6 nadhani pale ofisini kwa PM kuna spesho mission anaenda kuifanya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mtu pekee aliyeitendea haki kurugenzi ya habari ni Msigwa, alijua kum-brand boss wake, japo alikuwa chinja chinja
Ukiangalia critics⦠ni walio nje ya nchiWakuu salama?
Nadhani mmeona mkeka wa mama, Zuhura Yunus kaondolewa kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu mpaka kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu).
Zuhura atakuwa kamkorofisha wapi mama mpaka katolewa Ikulu? Au ndio anapikwa kuja kuwa Waziri baadaye?
Kuna mtu alidokeza X Zuhura anataka kuondolewa... je, kuna fukuto nyuma yake? Baadhi ya majirani zetu Kenya walimpa za uso Zuhura baada ya details za mkopo wa Korea kuvuja. Je, hii ndio inaweza kuwa sababu?
=====
Pia soma: Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa Mawasiliano Ikulu
Ni promotion kimuundoPovu linakutoka ukiwa wapi Mkuu, kama nimekosea rekebisha.... Kutoka Ikulu mpaka kuwa Naibu Katibu Mkuu chini ya Waziri Mkuu anakuwa amepanda?