Zuhura Yunus kaboronga wapi mpaka kutolewa Ikulu?
Watu huwa hawajifunzi. Yule 'Bwana yule',naye alitoka kule kule kwa 'wenye akili', tena akiwa kwenye nafasi ya juu, akashawishiwa aje home, na kupewa kazi. Akataka kuifanya kazi kwa 'akili ya kizungu', yaani 'haki bin haki'! Kilichompata, wote tunakijua! Akafunguliwa mpaka kesi, ili 'aozee jela'!
 
Halafu ogopa sana Mwanasiasa akijifanya Anakupenda kwani huenda akawa anataka kukuleta Karibu yake ili akusome, akujue, ajiridhishe kwa anayoyasikia na akutumie kwa Maslahi yake kisha akishajua ameshakuweza pande zote anakutupa kidogo ili usiumie kisha baada ya Miezi 6 au 9 ijayo na hata mwaka anakutupa mazima na urejee Kwenu ( kwa Wazazi wako ) Mbezi Beach Corner Bar jirani na Nyumba ya Mtoto wa aliyekuwa Meya wa Kinondoni Mzee Londa aitwae Haji Londa na muanze sasa kupiga nae Majungu.

Kudadadeki Kwishnei.....!
Spot on!
 
Ifike mahali ujue watu wana priority tofauti. Mtu amekaa nje muda mrefu sana, anataka kuja nyumbani. Asingeondoka kama hakuwa na mpango wa kurudi nyumbani, nyumbani hakukwepeki, either urudi mzima au kwenye jeneza
Hapa USA wengi ni wahamiaji. Nani huwa anarudi kwao kwenye jeneza? Hata Balali hakurudi kwao kwenye jeneza!
 
Inchi ina mambo ya kisnge hii, tunaacha kujadili maendeleo tunajadili maisha ya mafisadi as if ni tamthiria huku maisha yanaenda, muda unakimbia, hali ngumu. Kmmke.
 
Mtu pekee aliyeitendea haki kurugenzi ya habari ni Msigwa, alijua kum-brand boss wake, japo alikuwa chinja chinja
Sasa kama Korea wako wanne, nyie maskini mlio kwenda kuomba msaada mko 30 kuongea na watu wanne kuna maana kweli? Zuhura ange zuiaje ile picha wakati yeye aliona nayo ni story?
 
Kwahiyo naibu katibu mkuu ni wadhifa wa chini kuliko mkurugenzi?
Get jeupe ndio every thing,pale una coordinate kaz na bajet yake is there, siio unapanga kaz bajet sijui unaisubir wap hapana, trip za nje lazima uwemo,za ndan ,mim napendekeza makonda awepo pale
 
Back
Top Bottom