JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Ameshuka. Lambda kwenye kula hela ndio amepanda.Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ni cheo Kikubwa kuliko Mkurugenzi-ki msingi amepanda cheo.
Katibu Mkuu>>Naibu Katibu Mkuu>>>Mkurugenzi>>>>Mkurugenzi Msaidizi.
Kurugenzi ya Ikulu huwezi linganisha na wizara. Mda ule alikuwa na uwezo wa kuwaita mawazir wote Sasa hivi no.