Zuhura Yunus kudai uteuzi wake ulikuwa wa kushtukiza, hakuwa na taarifa ni kweli? Kwanini hakujuzwa?

Hamna na nasema hmna kitu kama hiko kabisa wanataka watuletee hadithi za kirikuu wana Jf wale covid 19 sasa naona wanafanana na uteuzi wa Huyu bi mpya wa nipashe(mawasiliano)
 
Michongo tu kupeana ulaji wapwani. Huyu alikua anamnanga jpm BBC sasa mama kampa kamba ya mbuzi refu ale hela ya umma.
Alikuwa akitumia nafasi yake kama mwanahabari kuwa muwazi na kukosoa kile kilichokuwa kikifanyika. Wabongo ukiwakosoa wanakuwa kama vile wewe sio 'mwenzao' wanakuchukia moja kwa moja.
 
Miaka ya giza hiyo mkuu, Tz kulikua hakuna wasomi.
Ni sawa na kusema mbona zamani kutoka dar hadi mwanza ilikua vumbi tupu.
Miaka ya giza ilyokuwa na hekima nyingi tu. Mwanasiasa na kiongozi mwenye karisma kama Nyerere hakuna na hatatokea katika Tanzania ya sasa na ijayo.
 
Usiwalaumu ni kabila la wahaya mara nyingi, ndio hawawezi kutofautisha h na a. Ni kama wasukuma wanavyosumbuka na r na l, sababu ni lugha zetu za asili.
 
Alijua anakoenda ila hakujua cheo au nafasi. Aliambiwa tu kwamba anahitajika nyumbani na tayari BBC wameshatambua kwamba anahitajika nyumbani kwa kazi maalum ila ni kazi gani hakujua kamwa.
Walishampigia debe humu mara TBC
Kuwa mkutugenzi
 
Hakuna uteuzi wa kushtukizwa, narudia tena hakuna uteuzi wa kushtukizwa

Bibie ameshaanza mapema kujitoa akili au ubongo ameshaukabidhi katika ofisi za lumumba
 
Keshauvaa uongo bila kukawia baada ya kuingizwa kwenye serikali ya waongo, hadi aache kazi BBC hakujua anakoenda kweli?
 
Tupo pamoja. Sema Sikumaanisha kwa wateuliwa kupewa taarifa kabla, bali nilikuwa tofauti ktk Mazingira ya kwetu kufanya kama wenzetu wa UK au Marekani Pale Uma unapofahamishwa kuwa Rais anatarajia kumteua fulani katika nafasi fulani. Huku kwetu changamoto ni nyingi zaidi ikiwa ni pamoja na Kuharibiana, Kuchafuata, fitina na suala la Kurubuniwa.

Kiufupi tu hii ngozi yetu imebarikiwa mengi lakini pia ina Mapungufu ikiwa ni pamoja na WIVU na KUUMIA MWENZAKO ANAPOFANIKIWA JAMNO
 
Asikudanganye mtu... URAIA PACHA ni makaratasi tu yale and majority with dual citizenship bado moyo wao unabaki kwenye nchi yao ya asili!

Uraia pacha watu wanautumia kwa ajili ya fursa tu na sio allegiance kwa nchi iliyompa second citizenship!!
 
Wenzetu huko Duniani utaskia Rais anategemewa kumteua Fulani kuwa fulani…
Hii staili uliyoisema hapa wewe ndiyo nzuri kwa sababu inafanywa na wengine? Assuming ni wewe unatangazwa kuwa utateuliwa kabla ya uteuz;i halafu baada ya hapo zinakuja kutokea circumstances na kujikuta kuwa haujateuliwa; kipi kinakuwa bora kwako katika mazingira hayo. kati ya kuwa ulikuwa unajua kabla kuwa kuna uteuzi unakuja lakini kwa bahati mbaya kateuliwa mwingine na siyo wewe; na kuwa hukuwa unajua kuwa utateuliwa na haujateuliwa?

Wabongo bongo zetu tulishahamishia kwa wenzetu tukabaki na vichwa tu. Yaani hata tukisikia kuwa wenzetu huko siku hizi wameanzisha utaratibu wa kuwa wanakula chakula wakiwa wamesimama mezani, kuna watu wataanza kulalamika na sisi tuanze kuwa tunakula tukiwa tumesiama

By the way, hao wenzetu huko duniani, ni akina nani?
 
Kushitukiza? mbona aliachia ngazi BBC kabla uteuzi haujatangazwa? kaanza siasa hata mechi haijaanza?
 
Uko sawa mkuu, na mambo ya usalama wa mtu pia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…