Zuhura Yunus kudai uteuzi wake ulikuwa wa kushtukiza, hakuwa na taarifa ni kweli? Kwanini hakujuzwa?

Zuhura Yunus kudai uteuzi wake ulikuwa wa kushtukiza, hakuwa na taarifa ni kweli? Kwanini hakujuzwa?

Anatuzuga tu huyo; alishapewa ulaji na akaukubali ndiyo maana akaaga BBC. Uzoefu wake kuhusu tasnia ya habari na uvaaji wake wa hijab ni vitu viwili vya muhimu sana vilivyomsaidia kupata nafasi hiyo nyeti
Duh!...
 
Sidhani kama nikweli cos tayari alishaaga BBC.......alijua anakoenda bila shaka
Kwa Hiyo Anatupiga Fix?
Wabongo Shida Yetu Hatuko Wazi. Ingekuwa Kwa BIDEN, Unamteua Mtu, Unampa Taarifa Anakuambia "I'm Delighted, No Thanks" ... Bongo Sasa
 
Huyu hasitufanye sisi wote watoto,aliachaje kazi BBC kama alikuwa hajui kinachoendelea. Sema ajue Tanzania ni kugumu. Wenzake waliomtangulia kutoka BBC na kuteuliwa kuwa wasemaji wa ikulu ni marehemu Afsa Mosi(Burundi) na Lubunga Boaombe (DRC).
Afsa mama ya buyenzi ilikuwa kisu bana.
 
Hivi gavana wa zamani Daudi Balali nae alikuwa wa kukodiwa?
 
Kuna wazawa wengi wenye uwezo, vigezo kama Pascal Mayalla na wengine wengi.

Kulikuwa na ulazima kutafuta expert, Mwingereza.
Wewe unadhani aliyekuwepo ana makosa? alikuwa anatafutwa mwanamke, na lazma awe Islamic
 
View attachment 2105667


’Changamoto zitakuwepo lakini nitamudu kazi’’

Mkurugenzi wa mawasiliano ikulu nchini Tanzania , Zuhura Yunus amezungumza na BBC na kueleza ni jinsi gani amepokea taarifa ya uteuzi wake.

Kabla ya uteuzi huo bi Zuhura Yunus alikuwa mtayarishaji wa vipindi na mtangazaji wa idhaa ya Kiswahili ya Shirika la utangazaji la Uingereza BBC.

Bi Zuhura anachukua nafasi ya bwana Jaffar Haniu ambaye amepangiwa kuchukua majukumu mengine kulingana na Taarifa iliyotiwa Saini na kaimu mkurugenzi wa mawasiliano ya rais.
-
Uteuzi wake unakuja miezi kadhaa baada ya kuandika kitabu chake cha wasifu wa Biubwa Amour Zahor mwanaharakati mwanamke wa kisiasa wakati wa mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964.
Mkurugenzi mpya wa mawasiliano ikulu -Tanzania ameiambia BBC kuwa uteuzi wake ulikuwa wa kushitukiza na wala hakuwa na taarifa kama ameteuliwa kwenye nafasi ya kuwa msemaji wa ikulu!

Anasema alikuwa amelala akashangaa simu za watu mbali mbali zinaita nakulia!

Anasema ni kitu ambacho hakutegemea kabisa!

Source: BBC Swahili
Actually ni kweli hakujua kwasababu mimi naelewa tayari alishakubaliana na azam tv,kuchukua position fulani kubwa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Facial expression haiendani na anachotaka kuaminisha. Hata hivyo ameshateuliwa; pongezi kwake na kila la heri.
 
Anatuzuga tu huyo; alishapewa ulaji na akaukubali ndiyo maana akaaga BBC. Uzoefu wake kuhusu tasnia ya habari na uvaaji wake wa hijab ni vitu viwili vya muhimu sana vilivyomsaidia kupata nafasi hiyo nyeti
Yaani hata aibu huoni unapouhusisha uteuzi na dini yake?!
 
Ni kweli wenzetu duniani wanafanya hivyo, nadhani ni sababu ya ukubwa wao, nguvu na mifumo yao ilivyo imara. Sasa fikiria udogo wetu huu ulivyo ktk nyanja zote halafu mtu yupo Ulaya uanze kusema Fulani anatarajiwa kuteuliwa kuwa ......

Hizi Surprise ni Muhimu kwa Maslahi Mapana
Mkuu Ni kwa taarifa tu ukipenda chukua ukiona haikufai iache, hakuna mteuliwa yeyote kutoka ofc ya rais, anaeteuliwa kama kakutana na kifo, wote hupata taarifa mapema Sana na huelezwa wasiseme mpka itakapokuwa realised,

Kwa hyo swal hlo ninashauri waandishi wasie wanawauliza wateuliwa maana wanawatendesha dhambi makusudi, na hakuna mtu yeyote alieteuliwa Bila kuambiwa, na ikitokea uteuzi umevuja, huwa wanafuta uteuzi juu kwa juu na kumpa mwingine mifano ipo mingi tu..
 
Swali muhimu, ameajiriwa kama Expert au tuna uraia pacha tayari.

Uraia wake kwa sasa ni wa Uingereza. Nafasi nyeti kama hiyo kupewa mwingereza sio kitu kidogo.

Tunaomba ufafanuzi kutoka kwako Zuhura au serikalini.
Utakufa nacho kijiba cha roho au munatakufa nacho ww ni katika wale watu wenye roho mbaya duniani jihasabu hivyo ,sasa wewe itakusaidia nini fanya kazi zako wacheni husda zenu roho mbaya tu.
 
Huyo lazima alikua mtu wao kitambo sasa amerudi kundini.

Wale wa Malindi mtakua mmenielewa.
 
Back
Top Bottom