OZAN KABAK
Member
- Dec 18, 2021
- 73
- 72
Mbona kaanza mapema ku Adopt Tabia za wanaCCM [emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule Jamaa wa Tigo aliyekataa teuzi alipoteza kazi?ilikuwaje?Wenzetu huko Duniani utaskia Rais anategemewa kumteua Fulani kuwa fulani…hii inasaidia Mhusika kujiandaa kisaikolojia na wakati mwingine watu kutoa taarifa zake muhimu kabla ya Uteuzi
Nimewahi kumsikia Fedrick Sumaye kuwa aliitwa saa 9 kamili jion kwny Makazi ya Rais wakati huo Mpambe wa Rais alikuwa kishaelekea Bungen kwa Mzee Msekwa kupeleka jina
The same to Mzee Pinda anasema akiwa na Rafiki yake Mh.Paul Kimiti wanajadili nani atamrithi Lowassa akashangaa Gari za 'Kaunda suti' zinakuja kumbeba
Tabia hii iliwahi kumgharimu jamaa aliekataa uteuzi wakati wa Mwamba bwana Maendeleo akajikuta kapoteza kazi Tigo
Hayati Mzee wetu yeye alikuja na kali kuliko…anatumbua Jumapili usiku hadi nguo za kazini ushaandaa
Nchi nyingi duniani masikini na tajiri, kubwa na ndogo zinatoa uraia pacha ! Tanzania tunakwama wapi ?? Ni roho mbaya au nini ?Nimesoma mahala, hata Mandela mtu wa karibu kabisa alihakikisha anaoshwa, anakula na kuvaa vizuri alikuwa mzungu.
Sipingi Diaspora kushiriki kujenga Taifa, infact ninaunga mkono wapewe nafasi.
Muhimu hili swali lijibiwe, liwekwe wazi, kwamba diaspora wanaweza kugombea au kuteuliwa kwenye nafasi yoyote serikalini kama Ukurugenzi, Uwaziri kugombea ubunge au Urais, nafasi yoyote.
Nchi nyingi duniani masikini na tajiri, kubwa na ndogo zimeongozwa na vyama tofauti. Tanzania tunakwama wapi?? Ni roho mbaya au nn ?Nchi nyingi duniani masikini na tajiri, kubwa na ndogo zinatoa uraia pacha ! Tanzania tunakwama wapi ?? Ni roho mbaya au nini ?
Aseme alikuwa anaenda wapi? Je ni kuanzisha consultancy firm ya Comms? au nini? Ndo watu wanavyo badili gia angani wanapoelekea jumba jeupe. Overall, ni swala la kutafuta maisha tu.Sidhani kama nikweli cos tayari alishaaga BBC.......alijua anakoenda bila shaka
Naomba nafasi ya ushenga au hata kuwa bestman. Najua lazima atakuwa na mashosti visu kama yeyekazuhura nakatamani kukaoa😋
PS: nje ya mada
Miaka ya giza hiyo mkuu, Tz kulikua hakuna wasomi.Nyerere miaka yake yote ya Utawala Personal Secretary wake alikuwa Mdada mrembo wa Kiingereza hadi alipostaafu bado aliendelea nae…
cha kushangaza zaid yule Bibi aliandika kitabu cha Maisha yake na mengi kuhusu uhusiano wake wa 'kikazi' na Kambarage na akaomba kizunduliwe 30 years baada ya kufa kwake…wachambuzi wana bashiri kina mengi sana
Huyu mama hasemi ukweli mbona mimi nilisoma mahali tangu December, 2020 wakati ametoa notice ya kuacha kazi BBC walisema amepewa kazi na SSH sasa leo anasema alistukizwa sio kweliView attachment 2105553
Mkurugenzi mpya wa mawasiliano ikulu -Tanzania ameiambia BBC kuwa uteuzi wake ulikuwa wa kushitukiza na wala hakuwa na taarifa kama ameteuliwa kwenye nafasi ya kuwa msemaji wa ikulu!
Anasema alikuwa amelala akashangaa simu za watu mbali mbali zinaita nakulia!
Anasema ni kitu ambacho hakutegemea kabisa!
Hapa JK alidanganya waziwazi.Kiboko ni Jk kuwa alipata habari ya msiba wa JPM kwenye Tv ahaaaaa
Huyu mama hasemi ukweli mbona mimi nilisoma mahali tangu December, 2020 wakati ametoa notice ya kuacha kazi BBC walisema amepewa kazi na SSH sasa leo anasema alistukizwa sio kweli
Tena macho makavu huku dunia nzima ikimtazama live,yule mzee noma sanaHapa JK alidanganya waziwazi.
Ni mwanahabari, ameanza vizuri kazi yake kubwa ni ku-spin, propaganda, kufanya visivyoaminika viaminike.Huyu mama hasemi ukweli mbona mimi nilisoma mahali tangu December, 2020 wakati ametoa notice ya kuacha kazi BBC walisema amepewa kazi na SSH sasa leo anasema alistukizwa sio kweli