ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 3,586
- 3,857
Utakufa nacho kijiba cha roho au munatakufa nacho ww ni katika wale watu wenye roho mbaya duniani jihasabu hivyo ,sasa wewe itakusaidia nini fanya kazi zako wacheni husda zenu roho mbaya tu.
[emoji817][emoji3581]Inasemekana kwamba watu wenye roho mbaya huwa pia hawana akili nzuri !!
Michongo tu kupeana ulaji wapwani. Huyu alikua anamnanga jpm BBC sasa mama kampa kamba ya mbuzi refu ale hela ya umma.
Hii staili uliyoisema hapa wewe ndiyo nzuri kwa sababu inafanywa na wengine? Assuming ni wewe unatangazwa kuwa utateuliwa kabla ya uteuz;i halafu baada ya hapo zinakuja kutokea circumstances na kujikuta kuwa haujateuliwa; kipi kinakuwa bora kwako katika mazingira hayo. kati ya kuwa ulikuwa unajua kabla kuwa kuna uteuzi unakuja lakini kwa bahati mbaya kateuliwa mwingine na siyo wewe; na kuwa hukuwa unajua kuwa utateuliwa na haujateuliwa?
Wabongo bongo zetu tulishahamishia kwa wenzetu tukabaki na vichwa tu. Yaani hata tukisikia kuwa wenzetu huko siku hizi wameanzisha utaratibu wa kuwa wanakula chakula wakiwa wamesimama mezani, kuna watu wataanza kulalamika na sisi tuanze kuwa tunakula tukiwa tumesiama
By the way, hao wenzetu huko duniani, ni akina nani?
Coincidence,inawezekana...
’Changamoto zitakuwepo lakini nitamudu kazi’’
Mkurugenzi wa mawasiliano ikulu nchini Tanzania, Zuhura Yunus amezungumza na BBC na kueleza ni jinsi gani amepokea taarifa ya uteuzi wake.
Kabla ya uteuzi huo bi Zuhura Yunus alikuwa mtayarishaji wa vipindi na mtangazaji wa idhaa ya Kiswahili ya Shirika la utangazaji la Uingereza BBC.
Bi Zuhura anachukua nafasi ya bwana Jaffar Haniu ambaye amepangiwa kuchukua majukumu mengine kulingana na Taarifa iliyotiwa Saini na kaimu mkurugenzi wa mawasiliano ya rais.
-
Uteuzi wake unakuja miezi kadhaa baada ya kuandika kitabu chake cha wasifu wa Biubwa Amour Zahor mwanaharakati mwanamke wa kisiasa wakati wa mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964.
Mkurugenzi mpya wa mawasiliano ikulu -Tanzania ameiambia BBC kuwa uteuzi wake ulikuwa wa kushitukiza na wala hakuwa na taarifa kama ameteuliwa kwenye nafasi ya kuwa msemaji wa ikulu!
Anasema alikuwa amelala akashangaa simu za watu mbali mbali zinaita nakulia!
Anasema ni kitu ambacho hakutegemea kabisa!
Source: BBC Swahili
Ni Asili Yetu Wa-Tanzania Kujifanya Hatuelewi Panapotokea Jambo La Kutugusa Moja Kwa Moja. Kwa Zama Hizi Kuna Mambo Ni Ngumu Sana Kuficha. Ni Ngumu Kuacha Kazi Mahali Tena Shirika Kubwa Kama BBC na Kutokujua Hatima Yako Itakuwa Wapi..
’Changamoto zitakuwepo lakini nitamudu kazi’’
Mkurugenzi wa mawasiliano ikulu nchini Tanzania, Zuhura Yunus amezungumza na BBC na kueleza ni jinsi gani amepokea taarifa ya uteuzi wake.
Kabla ya uteuzi huo bi Zuhura Yunus alikuwa mtayarishaji wa vipindi na mtangazaji wa idhaa ya Kiswahili ya Shirika la utangazaji la Uingereza BBC.
Bi Zuhura anachukua nafasi ya bwana Jaffar Haniu ambaye amepangiwa kuchukua majukumu mengine kulingana na Taarifa iliyotiwa Saini na kaimu mkurugenzi wa mawasiliano ya rais.
-
Uteuzi wake unakuja miezi kadhaa baada ya kuandika kitabu chake cha wasifu wa Biubwa Amour Zahor mwanaharakati mwanamke wa kisiasa wakati wa mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964.
Mkurugenzi mpya wa mawasiliano ikulu -Tanzania ameiambia BBC kuwa uteuzi wake ulikuwa wa kushitukiza na wala hakuwa na taarifa kama ameteuliwa kwenye nafasi ya kuwa msemaji wa ikulu!
Anasema alikuwa amelala akashangaa simu za watu mbali mbali zinaita nakulia!
Anasema ni kitu ambacho hakutegemea kabisa!
Source: BBC Swahili
Tanzania imeharibiwa na mambo ya UJAMAA UJAMAA angalia NCHI nyingi zilizo fata FALSAFA ya UJAMAA ni NCHI zenye maendeleo hafifu sn na watu wake wapo wapo hawana wanacho jua zaidi ya UNAFIKI NA HUSDA zimejaa kwenye Jamii kuanzia ngazi ya familia hadi Taifa.Nchi nyingi duniani masikini na tajiri, kubwa na ndogo zinatoa uraia pacha ! Tanzania tunakwama wapi ?? Ni roho mbaya au nini ?
Kwa nchi yetu, hizi teuzi huwa ni mandatory, japo nafasi ya negotiations na mamlaka za uteuzi huwa pia ipo. Tatizo letu ni kwa vile tu huwa tunachukulia teuzi kama ULAJI, wakati ki-uhalisia ni MZIGO MZITO mno unaobebeshwa kwa baadhi ya wachache wetu tu kati watu takribani million 60.Uteuzi umefanyika halafu unakuja uthibitisho kuwa Mteuliwa si Raia, pia unampa mtu nafasi wakati haitaki na anaingiwa na hofu kumkatalia Rais?…
Unafahamu kuwa Kanali Mstaafu Kinana alikataa kuwa Mbunge na Waziri wakati wa Mkapa kwa kuwa alijulishwa Mapema?
Ashakuwa ccm sasa mambo yake ni ya ki-ccm ccm., kwanini hajaeleza aliacha kazi bbc ghalfa, na kwa umri wake kuna masuali mengi kwanini aache kazi hasa ulaya shirika la kimataifa la utangazaji, lakini haikuchukua muda na kuteuliwa, lakini jengine na baya zaid profile yake hajaiweka wazi ata uki google, dini yake inasoma christian, passport yake ni ya uingereza na mambo mengine ni N/A. She is not true.
’Changamoto zitakuwepo lakini nitamudu kazi’’
Mkurugenzi wa mawasiliano ikulu nchini Tanzania, Zuhura Yunus amezungumza na BBC na kueleza ni jinsi gani amepokea taarifa ya uteuzi wake.
Kabla ya uteuzi huo bi Zuhura Yunus alikuwa mtayarishaji wa vipindi na mtangazaji wa idhaa ya Kiswahili ya Shirika la utangazaji la Uingereza BBC.
Bi Zuhura anachukua nafasi ya bwana Jaffar Haniu ambaye amepangiwa kuchukua majukumu mengine kulingana na Taarifa iliyotiwa Saini na kaimu mkurugenzi wa mawasiliano ya rais.
-
Uteuzi wake unakuja miezi kadhaa baada ya kuandika kitabu chake cha wasifu wa Biubwa Amour Zahor mwanaharakati mwanamke wa kisiasa wakati wa mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964.
Mkurugenzi mpya wa mawasiliano ikulu -Tanzania ameiambia BBC kuwa uteuzi wake ulikuwa wa kushitukiza na wala hakuwa na taarifa kama ameteuliwa kwenye nafasi ya kuwa msemaji wa ikulu!
Anasema alikuwa amelala akashangaa simu za watu mbali mbali zinaita nakulia!
Anasema ni kitu ambacho hakutegemea kabisa!
Source: BBC Swahili
Hachomoi apo mkuuVipi swali la British Passport ameshalijibu?
Hahaha so kwenye TV banaa alienda mbali zaidi na kusema kwanza alianza kuona tetes kwenye mitandao ya kijamii lakini akasema pengine ni uzushi tu wa kimitandao sasa akaona huko kwa TelevisheniKiboko ni Jk kuwa alipata habari ya msiba wa JPM kwenye Tv ahaaaaa
Ule ni uongo alitudanganya mchana kweupeHahaha so kwenye TV banaa alienda mbali zaidi na kusema kwanza alianza kuona tetes kwenye mitandao ya kijamii lakini akasema pengine ni uzushi tu wa kimitandao sasa akaona huko kwa Televisheni
HahahahahahaShangazi mzuri mzuri amekubali kudhalilishwa na MaCCM kwani ataenda kuanza kuongea uwongo na kueneza propaganda za maji taka[emoji205][emoji205][emoji205]
View attachment 2105624
HahahhahaahaTena macho makavu huku dunia nzima ikimtazama live,yule mzee noma sana
Duh ! Inafikirisha sana !!Tanzania imeharibiwa na mambo ya UJAMAA UJAMAA angalia NCHI nyingi zilizo fata FALSAFA ya UJAMAA ni NCHI zenye maendeleo hafifu sn na watu wake wapo wapo hawana wanacho jua zaidi ya UNAFIKI NA HUSDA zimejaa kwenye Jamii kuanzia ngazi ya familia hadi Taifa.
Mfano nakupa mmoja mwezi huu wa FEBRUARY kuna MAONYESHO makubwa ya KIBIASHARA DUBAI EXPO 2020 dunia nzima ipo huko lkn TANZANIA sijui hata kama wana eneo huko sijui..... lkn KENYA wamelishangamkia hasa sisi tupo kwenye TANZANITE BRIDGE ndio tuna ona mafanikio huu ni uwenda wazimu.
Sent from my SM-G975F using JamiiForums mobile app
Hapana, mbona Jery Muro alikuwa anaosha gari yake tu pale Sinza hana hili wala lile akawa anapokea simu za pongezi asijue kilichokuwa kinaendelea?Kazi zozote za uteuzi kabla hujateuliwa kwenye nafasi flani anayekutaka ufanye naye kazi hukutumia watu au barua ili kuthibitisha kama upo tayari unajibu kukubali au kukataa uteuzi huo.
Hivyo sio kirahisi kihivo kwamba ameshtukizwa
Wengi huwa wanatuambia wameshtkizwa kumbe kutulaghai.
Siku akistaafu atasema ukweli au kabla hajastaafu atasema ukweli.
Una tatizo kubwa la akili iwapo unadhani mavazi ndiyo dini. Huyu mama mmisri anyemsindikiza Rais Samia hapo ni mwislamu lakini yeye hajavaa ushungi, na unadhani yeye hana dini?Yaani hata aibu huoni unapouhusisha uteuzi na dini yake?!
Si ni singo maza. Aliyebeti mwanzo nani?Naomba nafasi ya ushenga au hata kuwa bestman. Najua lazima atakuwa na mashosti visu kama yeye