Zuhura Yunus kudai uteuzi wake ulikuwa wa kushtukiza, hakuwa na taarifa ni kweli? Kwanini hakujuzwa?

Utakufa nacho kijiba cha roho au munatakufa nacho ww ni katika wale watu wenye roho mbaya duniani jihasabu hivyo ,sasa wewe itakusaidia nini fanya kazi zako wacheni husda zenu roho mbaya tu.

Uwezo, uelewa wako wa mambo ni mdogo sana. Sio lazima kuchangia kila mada, wakati huna mchango wowote wa maana.

Nimeomba ufafanuzi, uwazi, itasaidia ikulu yenyewe.

Sipingi hata kama she is an expert, muhimu tuambiwe ukweli.
 
Uteuzi umefanyika halafu unakuja uthibitisho kuwa Mteuliwa si Raia, pia unampa mtu nafasi wakati haitaki na anaingiwa na hofu kumkatalia Rais?…

Unafahamu kuwa Kanali Mstaafu Kinana alikataa kuwa Mbunge na Waziri wakati wa Mkapa kwa kuwa alijulishwa Mapema?
Hii staili uliyoisema hapa wewe ndiyo nzuri kwa sababu inafanywa na wengine? Assuming ni wewe unatangazwa kuwa utateuliwa kabla ya uteuz;i halafu baada ya hapo zinakuja kutokea circumstances na kujikuta kuwa haujateuliwa; kipi kinakuwa bora kwako katika mazingira hayo. kati ya kuwa ulikuwa unajua kabla kuwa kuna uteuzi unakuja lakini kwa bahati mbaya kateuliwa mwingine na siyo wewe; na kuwa hukuwa unajua kuwa utateuliwa na haujateuliwa?

Wabongo bongo zetu tulishahamishia kwa wenzetu tukabaki na vichwa tu. Yaani hata tukisikia kuwa wenzetu huko siku hizi wameanzisha utaratibu wa kuwa wanakula chakula wakiwa wamesimama mezani, kuna watu wataanza kulalamika na sisi tuanze kuwa tunakula tukiwa tumesiama

By the way, hao wenzetu huko duniani, ni akina nani?
 
’Changamoto zitakuwepo lakini nitamudu kazi’’

Mkurugenzi wa mawasiliano ikulu nchini Tanzania, Zuhura Yunus amezungumza na BBC na kueleza ni jinsi gani amepokea taarifa ya uteuzi wake.

Kabla ya uteuzi huo bi Zuhura Yunus alikuwa mtayarishaji wa vipindi na mtangazaji wa idhaa ya Kiswahili ya Shirika la utangazaji la Uingereza BBC.

Bi Zuhura anachukua nafasi ya bwana Jaffar Haniu ambaye amepangiwa kuchukua majukumu mengine kulingana na Taarifa iliyotiwa Saini na kaimu mkurugenzi wa mawasiliano ya rais.
-
Uteuzi wake unakuja miezi kadhaa baada ya kuandika kitabu chake cha wasifu wa Biubwa Amour Zahor mwanaharakati mwanamke wa kisiasa wakati wa mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964.
Mkurugenzi mpya wa mawasiliano ikulu -Tanzania ameiambia BBC kuwa uteuzi wake ulikuwa wa kushitukiza na wala hakuwa na taarifa kama ameteuliwa kwenye nafasi ya kuwa msemaji wa ikulu!

Anasema alikuwa amelala akashangaa simu za watu mbali mbali zinaita nakulia!

Anasema ni kitu ambacho hakutegemea kabisa!

Source: BBC Swahili
Coincidence,inawezekana...
 
Ni Asili Yetu Wa-Tanzania Kujifanya Hatuelewi Panapotokea Jambo La Kutugusa Moja Kwa Moja. Kwa Zama Hizi Kuna Mambo Ni Ngumu Sana Kuficha. Ni Ngumu Kuacha Kazi Mahali Tena Shirika Kubwa Kama BBC na Kutokujua Hatima Yako Itakuwa Wapi..
 
Nchi nyingi duniani masikini na tajiri, kubwa na ndogo zinatoa uraia pacha ! Tanzania tunakwama wapi ?? Ni roho mbaya au nini ?
Tanzania imeharibiwa na mambo ya UJAMAA UJAMAA angalia NCHI nyingi zilizo fata FALSAFA ya UJAMAA ni NCHI zenye maendeleo hafifu sn na watu wake wapo wapo hawana wanacho jua zaidi ya UNAFIKI NA HUSDA zimejaa kwenye Jamii kuanzia ngazi ya familia hadi Taifa.

Mfano nakupa mmoja mwezi huu wa FEBRUARY kuna MAONYESHO makubwa ya KIBIASHARA DUBAI EXPO 2020 dunia nzima ipo huko lkn TANZANIA sijui hata kama wana eneo huko sijui..... lkn KENYA wamelishangamkia hasa sisi tupo kwenye TANZANITE BRIDGE ndio tuna ona mafanikio huu ni uwenda wazimu.

Sent from my SM-G975F using JamiiForums mobile app
 
Uteuzi umefanyika halafu unakuja uthibitisho kuwa Mteuliwa si Raia, pia unampa mtu nafasi wakati haitaki na anaingiwa na hofu kumkatalia Rais?…

Unafahamu kuwa Kanali Mstaafu Kinana alikataa kuwa Mbunge na Waziri wakati wa Mkapa kwa kuwa alijulishwa Mapema?
Kwa nchi yetu, hizi teuzi huwa ni mandatory, japo nafasi ya negotiations na mamlaka za uteuzi huwa pia ipo. Tatizo letu ni kwa vile tu huwa tunachukulia teuzi kama ULAJI, wakati ki-uhalisia ni MZIGO MZITO mno unaobebeshwa kwa baadhi ya wachache wetu tu kati watu takribani million 60.

Chukulia kwa mfano nyumbani kwenu, Baba akikupangia kazi ya kwenda shamba au dukani, huwa siyo optional japo negotiations zinaweza kuwepo na ukamfanya aamue otherswie
TEUZI HUWA SIYO OPTIONAL, NI MANDATORY. Wewe kwa mfano hutaki kwenda shamba; unataka nani aende?
 
Ameanza

’Changamoto zitakuwepo lakini nitamudu kazi’’

Mkurugenzi wa mawasiliano ikulu nchini Tanzania, Zuhura Yunus amezungumza na BBC na kueleza ni jinsi gani amepokea taarifa ya uteuzi wake.

Kabla ya uteuzi huo bi Zuhura Yunus alikuwa mtayarishaji wa vipindi na mtangazaji wa idhaa ya Kiswahili ya Shirika la utangazaji la Uingereza BBC.

Bi Zuhura anachukua nafasi ya bwana Jaffar Haniu ambaye amepangiwa kuchukua majukumu mengine kulingana na Taarifa iliyotiwa Saini na kaimu mkurugenzi wa mawasiliano ya rais.
-
Uteuzi wake unakuja miezi kadhaa baada ya kuandika kitabu chake cha wasifu wa Biubwa Amour Zahor mwanaharakati mwanamke wa kisiasa wakati wa mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964.
Mkurugenzi mpya wa mawasiliano ikulu -Tanzania ameiambia BBC kuwa uteuzi wake ulikuwa wa kushitukiza na wala hakuwa na taarifa kama ameteuliwa kwenye nafasi ya kuwa msemaji wa ikulu!

Anasema alikuwa amelala akashangaa simu za watu mbali mbali zinaita nakulia!

Anasema ni kitu ambacho hakutegemea kabisa!

Source: BBC Swahili
Ashakuwa ccm sasa mambo yake ni ya ki-ccm ccm., kwanini hajaeleza aliacha kazi bbc ghalfa, na kwa umri wake kuna masuali mengi kwanini aache kazi hasa ulaya shirika la kimataifa la utangazaji, lakini haikuchukua muda na kuteuliwa, lakini jengine na baya zaid profile yake hajaiweka wazi ata uki google, dini yake inasoma christian, passport yake ni ya uingereza na mambo mengine ni N/A. She is not true.
 
Kiboko ni Jk kuwa alipata habari ya msiba wa JPM kwenye Tv ahaaaaa
Hahaha so kwenye TV banaa alienda mbali zaidi na kusema kwanza alianza kuona tetes kwenye mitandao ya kijamii lakini akasema pengine ni uzushi tu wa kimitandao sasa akaona huko kwa Televisheni
 
Ule ni uongo alitudanganya mchana kweupe
 
Tanzania imeharibiwa na mambo ya UJAMAA UJAMAA angalia NCHI nyingi zilizo fata FALSAFA ya UJAMAA ni NCHI zenye maendeleo hafifu sn na watu wake wapo wapo hawana wanacho jua zaidi ya UNAFIKI NA HUSDA zimejaa kwenye Jamii kuanzia ngazi ya familia hadi Taifa.

Mfano nakupa mmoja mwezi huu wa FEBRUARY kuna MAONYESHO makubwa ya KIBIASHARA DUBAI EXPO 2020 dunia nzima ipo huko lkn TANZANIA sijui hata kama wana eneo huko sijui..... lkn KENYA wamelishangamkia hasa sisi tupo kwenye TANZANITE BRIDGE ndio tuna ona mafanikio huu ni uwenda wazimu.

Sent from my SM-G975F using JamiiForums mobile app
Duh ! Inafikirisha sana !!
 
Kazi zozote za uteuzi kabla hujateuliwa kwenye nafasi flani anayekutaka ufanye naye kazi hukutumia watu au barua ili kuthibitisha kama upo tayari unajibu kukubali au kukataa uteuzi huo.
Hivyo sio kirahisi kihivo kwamba ameshtukizwa
Wengi huwa wanatuambia wameshtkizwa kumbe kutulaghai.
Siku akistaafu atasema ukweli au kabla hajastaafu atasema ukweli.
 
Hapana, mbona Jery Muro alikuwa anaosha gari yake tu pale Sinza hana hili wala lile akawa anapokea simu za pongezi asijue kilichokuwa kinaendelea?
 
Yaani hata aibu huoni unapouhusisha uteuzi na dini yake?!
Una tatizo kubwa la akili iwapo unadhani mavazi ndiyo dini. Huyu mama mmisri anyemsindikiza Rais Samia hapo ni mwislamu lakini yeye hajavaa ushungi, na unadhani yeye hana dini?
1643892008731.png

Mama mwenyewe alishasema wakati anapokea kombe la Ubingwa kutoka Twiga Stars kuwa alikuwa anamwangalia zaid yule mchezaji ayelikuwa amevaa hijab.
 
Ameanza kudanganya mapema sana.
Aliaga vipi BBC muda kabla ya kutangazwa uteuzi wake?
 
Back
Top Bottom