Faza ni mulongo aiseeeKiboko ni Jk kuwa alipata habari ya msiba wa JPM kwenye Tv ahaaaaa
HiyoHiyo "h" ya Nini kwenye neno "hasingeweza"?
Kiukweli huwa naboreka sana na watu wanaoshindwa kutifautisha na kujua matumizi ya hayo maneno.
Kuna jamaa mmoja naye ana ujinga kama huo huwa ananikera sana!!
Hebu jifunzeni kiswahili bhana mnatudhalilisha aaaalaaaaaaaaaaaah
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Una tatizo kubwa la akili iwapo unadhani mavazi ndiyo dini. Huyu mama mmisri anyemsindikiza Rais Samia hapo ni mwislamu lakini yeye hajavaa ushungi, na unadhani yeye hana dini?
View attachment 2106409
Mama mwenyewe alishasema wakati anapokea kombe la Ubingwa kutoka Twiga Stars kuwa alikuwa anamwangalia zaid yule mchezaji ayelikuwa amevaa hijab.
Nchi nyingi duniani masikini na tajiri, kubwa na ndogo zinatoa uraia pacha ! Tanzania tunakwama wapi ?? Ni roho mbaya au nini ?
Si kweli jerry muro amekuwa karibu na makonda sababu ya kutafuta huo uteuzi. Yaani kiufupi alimuomba makonda aongee na jiwe amteue. Na makonda alikuwa na nguvu sana watu wengi wamebebwa na makonda kupata teuzi toka kwa jiwe.Hapana, mbona Jery Muro alikuwa anaosha gari yake tu pale Sinza hana hili wala lile akawa anapokea simu za pongezi asijue kilichokuwa kinaendelea?