Zuhura Yunus kudai uteuzi wake ulikuwa wa kushtukiza, hakuwa na taarifa ni kweli? Kwanini hakujuzwa?

Zuhura Yunus kudai uteuzi wake ulikuwa wa kushtukiza, hakuwa na taarifa ni kweli? Kwanini hakujuzwa?

Hiyo "h" ya Nini kwenye neno "hasingeweza"?

Kiukweli huwa naboreka sana na watu wanaoshindwa kutifautisha na kujua matumizi ya hayo maneno.

Kuna jamaa mmoja naye ana ujinga kama huo huwa ananikera sana!!

Hebu jifunzeni kiswahili bhana mnatudhalilisha aaaalaaaaaaaaaaaah

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hiyo
" kutifautisha....
Ndio kiswahili chako sahihi?
Nangaaaaaa
 
Una tatizo kubwa la akili iwapo unadhani mavazi ndiyo dini. Huyu mama mmisri anyemsindikiza Rais Samia hapo ni mwislamu lakini yeye hajavaa ushungi, na unadhani yeye hana dini?
View attachment 2106409
Mama mwenyewe alishasema wakati anapokea kombe la Ubingwa kutoka Twiga Stars kuwa alikuwa anamwangalia zaid yule mchezaji ayelikuwa amevaa hijab.
Mbuni.png
 
Kumbe hata kazi mpya bado hajaanza!!
 
Hapana, mbona Jery Muro alikuwa anaosha gari yake tu pale Sinza hana hili wala lile akawa anapokea simu za pongezi asijue kilichokuwa kinaendelea?
Si kweli jerry muro amekuwa karibu na makonda sababu ya kutafuta huo uteuzi. Yaani kiufupi alimuomba makonda aongee na jiwe amteue. Na makonda alikuwa na nguvu sana watu wengi wamebebwa na makonda kupata teuzi toka kwa jiwe.
Including Le chief himself. Yaani katika hilo group aliyekosa teuzi ni Le mutuz tuu na nadhani hakutaka.
 
Back
Top Bottom