Zuhura Yunus Kuondoka Ilkulu tunaona mawasiliano yalivyo pwaya

Zuhura Yunus Kuondoka Ilkulu tunaona mawasiliano yalivyo pwaya

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Zuhura Yunus Kuondoka Ilkulu tunaona mawasiliano yalivyo pwaya. Siku hizi watu wanashangaa mbona pumba nyingi ni kwasbabu ya huyu dada kuondoka.

Yeye ndiye alikuwa kichwa. Tatizo ukiwa msomi mzuri na huna mambo ya kuchambana na vijimaneno unaonekana kama vile utamaduni wako uko tofauti na unaondolewa. Ndiyo maana wizara ya mambo ya nje mara ya kwanza ilikuwa CV siku hizi ni urafiki!! .

Nasikia hata usalama walitolewa wenye cv na kuwekwa marafiki. Sasa tunaona wenyewe mwelekeo. Kutoka muonekano na Ilkulu yenye kusifiwa 2021-2022 sasa tuna sehemu ya mipasho hata kwenye mambo ya usalama tunaingiziwa utani wakati watu wanakufa!!

Tumeona umuhimu wa Zuhura Yunus wakati ule. Huu sasa ndiyo usomi
 
Zuhura Yunus Kuondoka Ilkulu tunaona mawasiliano yalivyo pwaya. Siku hizi watu wanashangaa mbona pumba nyingi ni kwasbabu ya huyu dada kuondoka. Yeye ndiye alikuwa kichwa. Tatizo ukiwa msomi mzuri na huna mambo ya kuchambana na vijimaneno unaonekana kama vile utamaduni wako uko tofauti na unaondolewa. Ndiyo maana wizara ya mambo ya nje mara ya kwanza ilikuwa CV siku hizi ni urafiki!! . Nasikia hata usalama walitolewa wenye cv na kuwekwa marafiki. Sasa tunaona wenyewe mwelekeo. Kutoka muonekano na Ilkulu yenye kusifiwa 2021-2022 sasa tuna sehemu ya mipasho hata kwenye mambo ya usalama tunaingiziwa utani wakati watu wanakufa!!

Tumeona umuhimu wa Zuhura Yunus wakati ule. Huu sasa ndiyo usomi

Ikulu ya Tanzania ilishapoteza heshima yake tangu zamani miaka mingi iliyopita.

Zamani Ikulu ilikuwa inaheshimika sana kwa sababu Mwl. Nyerere alikuwa anaamini kwamba Ikulu palikuwa ni mahali patakatifu. Ikulu palikuwa siyo Pango la Walanguzi!

Je, kwa Sasa hivi kweli Ikulu bado ni mahali patakafifu????
 
Sawa dadaa zuhura tumekusikiaa ss UNAWASAIDIAJEEE🤔🤔
 
Zuhura Yunus Kuondoka Ilkulu tunaona mawasiliano yalivyo pwaya. Siku hizi watu wanashangaa mbona pumba nyingi ni kwasbabu ya huyu dada kuondoka. Yeye ndiye alikuwa kichwa. Tatizo ukiwa msomi mzuri na huna mambo ya kuchambana na vijimaneno unaonekana kama vile utamaduni wako uko tofauti na unaondolewa. Ndiyo maana wizara ya mambo ya nje mara ya kwanza ilikuwa CV siku hizi ni urafiki!! . Nasikia hata usalama walitolewa wenye cv na kuwekwa marafiki. Sasa tunaona wenyewe mwelekeo. Kutoka muonekano na Ilkulu yenye kusifiwa 2021-2022 sasa tuna sehemu ya mipasho hata kwenye mambo ya usalama tunaingiziwa utani wakati watu wanakufa!!

Tumeona umuhimu wa Zuhura Yunus wakati ule. Huu sasa ndiyo usomi
Basi BBC wangepa mkataba mwingine au kitengo.
 
Huyo mama alikuwa anatumiwa kumhujumu ngoshq magufuli akiwa na seleman kikeke
 
Na mitandao yote unataka kumaanisha network haishiki ikulu?
 
Back
Top Bottom