Zuhura Yunus Kuondoka Ilkulu tunaona mawasiliano yalivyo pwaya. Siku hizi watu wanashangaa mbona pumba nyingi ni kwasbabu ya huyu dada kuondoka. Yeye ndiye alikuwa kichwa. Tatizo ukiwa msomi mzuri na huna mambo ya kuchambana na vijimaneno unaonekana kama vile utamaduni wako uko tofauti na unaondolewa. Ndiyo maana wizara ya mambo ya nje mara ya kwanza ilikuwa CV siku hizi ni urafiki!! . Nasikia hata usalama walitolewa wenye cv na kuwekwa marafiki. Sasa tunaona wenyewe mwelekeo. Kutoka muonekano na Ilkulu yenye kusifiwa 2021-2022 sasa tuna sehemu ya mipasho hata kwenye mambo ya usalama tunaingiziwa utani wakati watu wanakufa!!
Tumeona umuhimu wa Zuhura Yunus wakati ule. Huu sasa ndiyo usomi
Basi BBC wangepa mkataba mwingine au kitengo.Zuhura Yunus Kuondoka Ilkulu tunaona mawasiliano yalivyo pwaya. Siku hizi watu wanashangaa mbona pumba nyingi ni kwasbabu ya huyu dada kuondoka. Yeye ndiye alikuwa kichwa. Tatizo ukiwa msomi mzuri na huna mambo ya kuchambana na vijimaneno unaonekana kama vile utamaduni wako uko tofauti na unaondolewa. Ndiyo maana wizara ya mambo ya nje mara ya kwanza ilikuwa CV siku hizi ni urafiki!! . Nasikia hata usalama walitolewa wenye cv na kuwekwa marafiki. Sasa tunaona wenyewe mwelekeo. Kutoka muonekano na Ilkulu yenye kusifiwa 2021-2022 sasa tuna sehemu ya mipasho hata kwenye mambo ya usalama tunaingiziwa utani wakati watu wanakufa!!
Tumeona umuhimu wa Zuhura Yunus wakati ule. Huu sasa ndiyo usomi
mzigo gani mkuu?Mpaka wengine wakala mzigo kwa kisingizio cha ndoa.Bora ungebaki zako UK una tozoom kama mange kimambi
Mitano tenamzigo gani mkuu?