Zuia kurekodiwa video ukiwa na mpenzi wako

Zuia kurekodiwa video ukiwa na mpenzi wako

hiyo haisaidii chochote kwani sio simu pekee inayorekodi maana laptop yenye web cam,spy camera kama peni,miwani,balb za taa,vifungo vya nguo,maua ya plastic na vingine vingi kisha unahamisha kwenye flash...hiyo kusema zuia kurekodiwa alafu unadhibiti simu tu mtu hashindwi kukurekodi kwa siri akiamua hizo app hazina msaada wowote
 
Back
Top Bottom