Kamanda Kazi
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 2,613
- 795
Wasalaam ndugu wapendwa!
Kwa ndugu wakristo bila shaka mko katika pilika pilika za sikukuu ya Pasaka! Bila story ndefu leo napenda niseme kidogo kuhusu ugonjwa wa PUMU (Asthma) na tiba ya haraka kwa mtu anayebanwa na pumu wakati akiwa hana dawa za hospitalini. Nini afanye maana ugonjwa huo unabana mfumo wa uvutaji hewa, hali ambayo ni hatari kwa uhai wa mgonjwa.
Hivi karibuni tumempoteza mpendwa wetu kutokana na ugonjwa huo! Marehemu alibanwa na pumu, akatafuta dawa ambayo alikuwa akitumia wakati anapobanwa pumu. Ni dawa alikuwa akinusa ili kufanya mfumo wa hewa ufunguke! Kitalaam inaitwa 'Theophylline (Aerolate, Theo-Dur)'. Alipoikosa basi akapoteza uhai!
Zaidi ya watu 4,000 hufa kila mwaka kutokana na ugonjwa wa pumu. Kutokana na sababu ambazo bado hazijaeleweka, watoto hufa zaidi wakati wa kipindi cha kiangazi (summer) na watu wazima wenye umri zaidi ya miaka 65 wakati wa kipindi cha baridi (Winter). 90% ya watoto wenye pumu pia wana tatizo la mzio (allergies), tatizo ambalo husababisha mashambulizi ya pumu (asthma attacks).
Sasa ikitokea mtu ana tatizo la pumu na amebanwa njia ya hewa na bahati mbaya hana dawa karibu. Nini kifanyike kuokoa uhai wa mtu huyo. MPE KAHAWA, CHAI, SODA YENYE CAFFEIN (KAMA COCA COLA), COCOA AU CHOCOLATE. Hivyo vitasaidia kufungua njia ya hewa ili mtu huyo apumue vizuri. Baada ya hapo mnaweza kuendelea na taratibu zingine za matibabu!
Mama mmoja alikuwa kwenye fungate (honey moon) bahati mbaya akabanwa pumu na hakuwa na dawa. Akakumbuka kunywa vikombe vitatu vya kahawa...AKAOKOA MAISHA YAKE!
SAMBAZA HABARI HIZI NJEMA ZA UPENDO KWA WATU WOTEEE....NA PASAKA NJEMA!
Kwa wale wenye matatizo ya masuala ya uzazi, kama ukosefu wa nguvu za kiume, Tatizo la kutunga mimba (Me/Ke) na Matatizo yahusuyo Ujauzito na Kujifungua mathalani, kuzuia kutoka mimba, kusukuma mtoto na kujifungua haraka, kukata damu baada ya kujifungua na kupona majeraha ya uzazi! TUWASILIANE