Zuia vifo vitokanavyo na Pumu, sambaza upendo

Kamanda Kazi

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2012
Posts
2,613
Reaction score
795
Wasalaam ndugu wapendwa!

Kwa ndugu wakristo bila shaka mko katika pilika pilika za sikukuu ya Pasaka! Bila story ndefu leo napenda niseme kidogo kuhusu ugonjwa wa
PUMU (Asthma) na tiba ya haraka kwa mtu anayebanwa na pumu wakati akiwa hana dawa za hospitalini. Nini afanye maana ugonjwa huo unabana mfumo wa uvutaji hewa, hali ambayo ni hatari kwa uhai wa mgonjwa.

Hivi karibuni tumempoteza mpendwa wetu kutokana na ugonjwa huo! Marehemu alibanwa na pumu, akatafuta dawa ambayo alikuwa akitumia wakati anapobanwa pumu. Ni dawa alikuwa akinusa ili kufanya mfumo wa hewa ufunguke! Kitalaam inaitwa 'Theophylline (Aerolate, Theo-Dur)'. Alipoikosa basi akapoteza uhai!

Zaidi ya watu 4,000 hufa kila mwaka kutokana na ugonjwa wa pumu. Kutokana na sababu ambazo bado hazijaeleweka, watoto hufa zaidi wakati wa kipindi cha kiangazi (summer) na watu wazima wenye umri zaidi ya miaka 65 wakati wa kipindi cha baridi (Winter). 90% ya watoto wenye pumu pia wana tatizo la mzio (allergies), tatizo ambalo husababisha mashambulizi ya pumu (asthma attacks).

Sasa ikitokea mtu ana tatizo la pumu na amebanwa njia ya hewa na bahati mbaya hana dawa karibu. Nini kifanyike kuokoa uhai wa mtu huyo. MPE KAHAWA, CHAI, SODA YENYE CAFFEIN (KAMA COCA COLA), COCOA AU CHOCOLATE. Hivyo vitasaidia kufungua njia ya hewa ili mtu huyo apumue vizuri. Baada ya hapo mnaweza kuendelea na taratibu zingine za matibabu!
Mama mmoja alikuwa kwenye fungate (honey moon) bahati mbaya akabanwa pumu na hakuwa na dawa. Akakumbuka kunywa vikombe vitatu vya kahawa...AKAOKOA MAISHA YAKE!

SAMBAZA HABARI HIZI NJEMA ZA UPENDO KWA WATU WOTEEE....NA PASAKA NJEMA!

Kwa wale wenye matatizo ya masuala ya uzazi, kama ukosefu wa nguvu za kiume, Tatizo la kutunga mimba (Me/Ke) na Matatizo yahusuyo Ujauzito na Kujifungua mathalani, kuzuia kutoka mimba, kusukuma mtoto na kujifungua haraka, kukata damu baada ya kujifungua na kupona majeraha ya uzazi!
TUWASILIANE

Asante kwa taarifa njema,last born wangu 9 yrs old, ameanza hivi karibuni kupata tatizo la pumu ,hakuwahi kuwa hivyo huko nyuma ila last month alibanwa ghafla kifua akabadilika kabisa.bahati nzuri nilikuwa pembeni yake, nilimkimbiza hosp wakamtibia haraka sana.na tulilazwa siku tatu.nimegundua kumbe huu ugonjwa ni hatari sanasana.sikujua kitu gani kinaweza kumsaidia ktk mazingira ya kawaida,ndo umenifungua akili.asante sana,ubarikiwe sana
 
Aisee hii story kama ya mdau mmoja hivi au ndio wewe ninii?
 
Wasalaam ndugu wapendwa!

Kwa ndugu wakristo bila shaka mko katika pilika pilika za sikukuu ya Pasaka! Bila story ndefu leo napenda niseme kidogo kuhusu ugonjwa wa
PUMU (Asthma) na tiba ya haraka kwa mtu anayebanwa na pumu wakati akiwa hana dawa za hospitalini. Nini afanye maana ugonjwa huo unabana mfumo wa uvutaji hewa, hali ambayo ni hatari kwa uhai wa mgonjwa.

Hivi karibuni tumempoteza mpendwa wetu kutokana na ugonjwa huo! Marehemu alibanwa na pumu, akatafuta dawa ambayo alikuwa akitumia wakati anapobanwa pumu. Ni dawa alikuwa akinusa ili kufanya mfumo wa hewa ufunguke! Kitalaam inaitwa 'Theophylline (Aerolate, Theo-Dur)'. Alipoikosa basi akapoteza uhai!

Zaidi ya watu 4,000 hufa kila mwaka kutokana na ugonjwa wa pumu. Kutokana na sababu ambazo bado hazijaeleweka, watoto hufa zaidi wakati wa kipindi cha kiangazi (summer) na watu wazima wenye umri zaidi ya miaka 65 wakati wa kipindi cha baridi (Winter). 90% ya watoto wenye pumu pia wana tatizo la mzio (allergies), tatizo ambalo husababisha mashambulizi ya pumu (asthma attacks).

Sasa ikitokea mtu ana tatizo la pumu na amebanwa njia ya hewa na bahati mbaya hana dawa karibu. Nini kifanyike kuokoa uhai wa mtu huyo. MPE KAHAWA, CHAI, SODA YENYE CAFFEIN (KAMA COCA COLA), COCOA AU CHOCOLATE. Hivyo vitasaidia kufungua njia ya hewa ili mtu huyo apumue vizuri. Baada ya hapo mnaweza kuendelea na taratibu zingine za matibabu!
Mama mmoja alikuwa kwenye fungate (honey moon) bahati mbaya akabanwa pumu na hakuwa na dawa. Akakumbuka kunywa vikombe vitatu vya kahawa...AKAOKOA MAISHA YAKE!

SAMBAZA HABARI HIZI NJEMA ZA UPENDO KWA WATU WOTEEE....NA PASAKA NJEMA!

Kwa wale wenye matatizo ya masuala ya uzazi, kama ukosefu wa nguvu za kiume, Tatizo la kutunga mimba (Me/Ke) na Matatizo yahusuyo Ujauzito na Kujifungua mathalani, kuzuia kutoka mimba, kusukuma mtoto na kujifungua haraka, kukata damu baada ya kujifungua na kupona majeraha ya uzazi!
TUWASILIANE

Akhsante Sana Mkuu Na Huwezi Amini Pia Ni Mhanga Wa Ugonjwa Huu Wa PUMU Na Nashukuru Sana Kwa Kutupa Elimu Isiyokuwa Na Chembe Ya Uchoyo. Bora Nilivyo Sasa Kwani Wakati Bado Ni Mtoto Wazazi Wangu Kila Mara Walijua Nadedi Kwani Umenisumbua Mno Huu Ugonjwa Hadi Nilipopelekwa Kwa Mtaalamu ( Babu Wa Tiba Asilia ) Marangu Mkoani Kilimanjaro Miaka Ya 1988 Na 1989 Ambapo Nakumbuka Yule Babu Wa Kichaga Alinipaka Mafuta Ya Mti Fulani Hivi Ktk Kifua Changu Kisha Akawa Anachukuwa Chuma Cha Moto Ananigonga Nacho Kifuani Alipopaka Yale Mafuta. Kweli Ilikuwa Ni Maumivu Ukizingatia Nilikuwa Bado Ni Petit ( Mtoto Mdogo ) Lakini Tokea Nifanyiwe UKARABATI Huo Wa Kichagga Ilinichukuwa Zaidi Ya Miaka 15 Hivi Hali Kuja Kuanza Tena Na Bahati Mbaya Pia Hata Yule Mzee Nae Alisharesti Ini Pisi Muda Mrefu Tu Hivyo Sasa Natumia Mno Vidonge Vya Salbutamol. Naomba Hapo Ktk Kahawa, Chai, Soda, Cocoa Na Chocolate Ongeza Pia Na Cannabis Sativa ( Bangi ) Kwani Hakuna Dawa Bora Na Inayotibu PUMU Kama Bangi Na Imethibishwa Kitaalamu.
 
Wasalaam ndugu wapendwa!

Kwa ndugu wakristo bila shaka mko katika pilika pilika za sikukuu ya Pasaka! Bila story ndefu leo napenda niseme kidogo kuhusu ugonjwa wa
PUMU (Asthma) na tiba ya haraka kwa mtu anayebanwa na pumu wakati akiwa hana dawa za hospitalini. Nini afanye maana ugonjwa huo unabana mfumo wa uvutaji hewa, hali ambayo ni hatari kwa uhai wa mgonjwa.

Hivi karibuni tumempoteza mpendwa wetu kutokana na ugonjwa huo! Marehemu alibanwa na pumu, akatafuta dawa ambayo alikuwa akitumia wakati anapobanwa pumu. Ni dawa alikuwa akinusa ili kufanya mfumo wa hewa ufunguke! Kitalaam inaitwa 'Theophylline (Aerolate, Theo-Dur)'. Alipoikosa basi akapoteza uhai!

Zaidi ya watu 4,000 hufa kila mwaka kutokana na ugonjwa wa pumu. Kutokana na sababu ambazo bado hazijaeleweka, watoto hufa zaidi wakati wa kipindi cha kiangazi (summer) na watu wazima wenye umri zaidi ya miaka 65 wakati wa kipindi cha baridi (Winter). 90% ya watoto wenye pumu pia wana tatizo la mzio (allergies), tatizo ambalo husababisha mashambulizi ya pumu (asthma attacks).

Sasa ikitokea mtu ana tatizo la pumu na amebanwa njia ya hewa na bahati mbaya hana dawa karibu. Nini kifanyike kuokoa uhai wa mtu huyo. MPE KAHAWA, CHAI, SODA YENYE CAFFEIN (KAMA COCA COLA), COCOA AU CHOCOLATE. Hivyo vitasaidia kufungua njia ya hewa ili mtu huyo apumue vizuri. Baada ya hapo mnaweza kuendelea na taratibu zingine za matibabu!
Mama mmoja alikuwa kwenye fungate (honey moon) bahati mbaya akabanwa pumu na hakuwa na dawa. Akakumbuka kunywa vikombe vitatu vya kahawa...AKAOKOA MAISHA YAKE!

SAMBAZA HABARI HIZI NJEMA ZA UPENDO KWA WATU WOTEEE....NA PASAKA NJEMA!

Kwa wale wenye matatizo ya masuala ya uzazi, kama ukosefu wa nguvu za kiume, Tatizo la kutunga mimba (Me/Ke) na Matatizo yahusuyo Ujauzito na Kujifungua mathalani, kuzuia kutoka mimba, kusukuma mtoto na kujifungua haraka, kukata damu baada ya kujifungua na kupona majeraha ya uzazi! TUWASILIANE

Asante sana kwa ujumbe mwema wa upendo.
LAKINI hapo kwenye red, mbona sasa wageuka kuwa waganga kutoka Sumbawanga- wa mapenzi, nguv za kiumehaba etc! Hapo nawaogopa watu wa hivyo, most of them have turned to be matapeli!
All in all, kwa pumu you might be right!
 
[/COLOR]

Mimi sio mganga wa kienyeji na sijawahi kuwa! Imani yangu haiko huko hata punje! Pili, acha uzushi maana mimi sijaandika kuwa nina dawa za kumvuta mpenzi maana ndo huko unahisi. nimesema upungufu wa nguvu za kiume na matatizo mengine ya uzazi. Ni dawa ambazo unatengeneza wewe mwenyewe, mimi nakupa formula tu. ni matunda, mboga, viungo, majani na mizizi isiyo na athari kwa binadamu! Tiba iko proved na watafiti na sio longo longo!
Tatu, sio lazima utake huduma yangu maana sipendi mtu awe na feelings kwamba anatapeliwa! Ila watu wengine kama wewe wanapenda bure kila kitu. mbona kuhusu pumu hujajenga hoja kuwa ni utapeli. Kahawa, chai au chocolate au coca cola ni tiba ya uganga wa kienyeji? Nikikwambia chukua carrot, spinach, iriki na...then uchanganye hivi utapata hiki ni uganga wa jadi au ni elimu baada ya kufanyika utafiti?
 
Usigombe , please and please, people have a right to raise reasonable doubts! It is your duty to disprove those doubts! Even with pumu, it is not easy to convince somebody the authenticity of medicinal value of those concoctions! Suppose I come to you, will you be able to show me Investigator's brochure? All in all, you have shared with us interesting information!
Have a nice Easter holiday!
 
Yes they have the right to raise their doubts but not in such manner! If somebody does not believe what I have said better not take my way! The guy thinks may be I am TAPELI! Even he went to extent of insulting me! I'm not 'MGANGA FROM SUMBAWANGA'! He better learn how to raise issues and get correct and right answers! Even you if you want to see the Herbal scientists' reports I can do that in order to clear doubts!
Thank you...You too Enjoy Easter!
 
thank you mwya cc tuliolith tunashda bcoz muda wote napga chafya had nachoka somtym
 
Akhsante Sana Mkuu Na Huwezi Amini Pia Ni Mhanga Wa Ugonjwa Huu Wa PUMU Na Nashukuru Sana Kwa Kutupa Elimu Isiyokuwa Na Chembe Ya Uchoyo. Bora Nilivyo Sasa Kwani Wakati Bado Ni Mtoto Wazazi Wangu Kila Mara Walijua Nadedi Kwani Umenisumbua Mno Huu Ugonjwa Hadi Nilipopelekwa Kwa Mtaalamu ( Babu Wa Tiba Asilia ) Marangu Mkoani Kilimanjaro Miaka Ya 1988 Na 1989 Ambapo Nakumbuka Yule Babu Wa Kichaga Alinipaka Mafuta Ya Mti Fulani Hivi Ktk Kifua Changu Kisha Akawa Anachukuwa Chuma Cha Moto Ananigonga Nacho Kifuani Alipopaka Yale Mafuta. Kweli Ilikuwa Ni Maumivu Ukizingatia Nilikuwa Bado Ni Petit ( Mtoto Mdogo ) Lakini Tokea Nifanyiwe UKARABATI Huo Wa Kichagga Ilinichukuwa Zaidi Ya Miaka 15 Hivi Hali Kuja Kuanza Tena Na Bahati Mbaya Pia Hata Yule Mzee Nae Alisharesti Ini Pisi Muda Mrefu Tu Hivyo Sasa Natumia Mno Vidonge Vya Salbutamol. Naomba Hapo Ktk Kahawa, Chai, Soda, Cocoa Na Chocolate Ongeza Pia Na Cannabis Sativa ( Bangi ) Kwani Hakuna Dawa Bora Na Inayotibu PUMU Kama Bangi Na Imethibishwa Kitaalamu.
aisee sikujuaa kama bangi ni dawa,yani mim tokea nimeanza kuvuta bangi cjawahi kubanwa pumu kabisa na before nlikua na.banwa sana
 
Back
Top Bottom