Zuio la kupiga nyimbo za Diamond: Ni watangazaji au wamiliki wa vituo husika?

Zuio la kupiga nyimbo za Diamond: Ni watangazaji au wamiliki wa vituo husika?

IAmShedeOne

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2015
Posts
202
Reaction score
385
Kamwene!

Binafsi si mfuatiliaji wa visa na mikasa ya wanamuziki hasa `Bongo`.

Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia juu juu kuwepo kwa kinachosemekana kuwa 'beef' kati ya msanii Nasibu Abdul Juma maarufu kama Diamond Platnumz na baadhi ya vyombo vya habari nchini.

Clouds Media, IPP Media na EFM ni 'media house' zinazotajwa sana kuhusika katika hili. Leo nimepata nafasi ndogo kusikiliza redio (Radio 0ne) ya IPP MEDIA lakini nyimbo za Diamond zimepigwa! Hii imekaaje?

Na kule YouTube kwenye chaneli ya CLOUDS wamepost show ya DIAMOND na DAVIDO pale nextdoor.

Naomba ufafanuzi.

Nahene!!
 
Back
Top Bottom