Zuio la usajili wa Polyclinics (Kliniki za Kibingwa) mpya katika mfuko wa bima (NHIF): Waziri Ummy Mwalimu atoe majibu

Hawa wapumbavu wafutiwe tu usajili wa NHIF maana wanaongoza kuwapa watu wagonjwa wasiyokuwa nayo
 
Hawa wapumbavu wafutiwe tu usajili wa NHIF maana wanaongoza kuwapa watu wagonjwa wasiyokuwa nayo
Kwa kawaida wataalamu wa afya wanaongozwa na maadili ya kazi, na inapotokea mtaalamu anakwenda kinyume na ethics za kazi sheria zinaelekezwa yeye kuadhibiwa na Mabaraza ya taaluma.

Kufuta Usajili wa kituo kwa sababu ya makosa ya waajiriwa sidhani kama ndio practice yenye weledi, pengine kuwe na ushirikiano na au kuwezeshwa na mmiliki.

Pia NHIF na Mifuko ya bima ina kitengo cha compliance chenye jukumu la kuhakiki matibabu yaliyotolewa kama yanaendana na miongozo kabla ya kufanya malipo.
 
Matumizi ya kaya unapoona yanaongezeka kwa Kasi, yakubidi uangalie fedha nyingi zaenda wapi, baada ya hapo Mzee baba waanza kutafta njia mbadala wa kupunguza matumizi. Mie naona poly clinics zote zitolewe katika utaratibu wa NHIF.
Mapovu naruhusiwa
 
U

Upo sahihi mkuu hizo polyclinic nying wapigaji tu
Hoja muhimu ni kwamba huwezi kufuta au kuzuia huduma kwa sababu ya walio wachache ambao wanaweza kushughulikiwa na taratibu za kisheria.

Tunapaswa kufahamu kwamba kosa au mwenendo usiofaa wa utoaji wa huduma unapaswa kushughulikiwa kwa kufuata miongozo ili kulinda mfuko na wanufaika wa Bima.
 
Huduma wanazotoa ni nzuri ila kuna mambo hayako sawa kwenye hizo clinics...
 
Naunga mkono hoja umeandika ukweli mtupu polyclinics nyingi zimekaa kiupigaji sana, NHIF Wana kazi kubwa ya kufanya kudhibiti wizi kwenye hivi vituo.

Mm nahisi NHIF wangefanya kama bima zingine ambazo huwa zinaajiri watu wao binafsi wanakaa kwenye hizi hospitali waki monitor Kila kinachoendelea upande wa bima.
 
Mfuko wa bima hauna Hela

Hela zimeenda wapi!? Wanasiasa wamwzichukua

Wanachi mfw tu
 
Vijana wale wapi mkuu.

Kuna majobless doctors Kila kona.

Hapo ndio wanakopatia ugali wao
Kwa kifupi Polyclinics zilianzishwa kutokana na Sera zilizo chagizwa na NHIF, ambapo ilisababisha Vituo vingi kubadili hadhi kutoka dispensary, health center na kwenda Polyclinics.
Kwa ilivyo sasa consultation fee kwa ngazi ya dispensary ni 1000, bila kujali mgonjwa ameonwa na nani, kwenye health center ni 2000. Lakini Polyclinics ni kuanzia 7,000.
 
Hamna ukweli wowote wa hii habari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…