hanzangira
Member
- Aug 3, 2018
- 7
- 1
bado kwa sasa huduma ni kwa mkoa wa dar es salaam tu.Kwa mwanza bado....?
Poabado kwa sasa huduma ni kwa mkoa wa dar es salaam tu.
boss kwa tabata bado, tukifika nitakujuza, ahsante kwa ushiriano
Wana rigid mindset.....huwezi teka soko ukiwa unatoa huduma zangu maeneo matano tu ya darZuku ni conservative zaidi ya Startimes, hawajawahi kufanikiwa kwenye lolote!
boss hatujaishia hapo tu, sema hizo ndio sehemu ambazo kwa sasa huduma ipo activated, lakini tupo maeneo mengine pia sema huduma bado kuwashwa.Wana rigid mindset.....huwezi teka soko ukiwa unatoa huduma zangu maeneo matano tu ya dar
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni ki mtu cga sales tu nishawahi ongea na maboss wako wakaniambia hawa intention za kusambaa kwingineboss hatujaishia hapo tu, sema hizo ndio sehemu ambazo kwa sasa huduma ipo activated, lakini tupo maeneo mengine pia sema huduma bado kuwashwa.
haipunhui ni unlimited kabisa yaani utatumia kwa mwezi mzima pasipo kukata.Hiyo ni unlimited data?,au kuna kiwango ukifikia speed wanapunguza?
ndio mkuu ni unlimited.Duh hii 100mbs si mchezo mzee maana halotel wananipa 3- 4mbs naenjoy kinoma
je hii ni unlimited?
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wa jf mmezidi ujuaji aiseeWewe ni ki mtu cga sales tu nishawahi ongea na maboss wako wakaniambia hawa intention za kusambaa kwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio nimezidi ujuaji nishawahi piga zuku countless time kuwauliza kuhusu huduma zao wakabidi wanvutie simu hadi kwa boss wako coz nilikua nahitaji ISP kwa sasa natumia ttcl ila its expensive (nalipia 69k kwa 2mbps) na hitilafu ikitokea wapo sluggish sana...Kwa kifupi Zuku bado hawapo tayari hasa hasa kimiundo mbinu kufanya market expansion naona hawaamin masoko nje ya masak,kinondon na mjiniWatu wa jf mmezidi ujuaji aisee
Shukran, Router inayotolewa hapa ni aina gani na maximum number of connected devices ni ngapi?Habarini wanajamvi, karibuni sana niwapatie huduma ya zuku unlimited home internet, ni huduma nzuri yenye kasi zaidi, free device(router), na free installation kwa wateja wetu.
huduma kwa sasa ni uhakika kwa maeneo yafatayo upanga,kariakoo,msasani,masaki, kinondoni,mikocheni na oysterbay.
kwa mawasiliano na maswali, napatikana kwa no 0712-117383 au 0692-340664.View attachment 1298336View attachment 1298339View attachment 1298341
Una dharau sanaWewe ni ki mtu cga sales tu nishawahi ongea na maboss wako wakaniambia hawa intention za kusambaa kwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
huna lolote ,we unajifanya mjuaji tu ,we ndo wale mtaani wanajionaga wanajua kumbe watu wanawachukulia maboya tuSio nimezidi ujuaji nishawahi piga zuku countless time kuwauliza kuhusu huduma zao wakabidi wanvutie simu hadi kwa boss wako coz nilikua nahitaji ISP kwa sasa natumia ttcl ila its expensive (nalipia 69k kwa 2mbps) na hitilafu ikitokea wapo sluggish sana...Kwa kifupi Zuku bado hawapo tayari hasa hasa kimiundo mbinu kufanya market expansion naona hawaamin masoko nje ya masak,kinondon na mjini
Next time jua kwa nini mtu kasema alichokisema kabla hujamuita mjuaji.
Sent using Jamii Forums mobile app