ZUKU fiber unlimited home internet

ZUKU fiber unlimited home internet

hanzangira

Member
Joined
Aug 3, 2018
Posts
7
Reaction score
1
Habarini wanajamvi, karibuni sana niwapatie huduma ya zuku unlimited home internet, ni huduma nzuri yenye kasi zaidi, free device(router), na free installation kwa wateja wetu.
huduma kwa sasa ni uhakika kwa maeneo yafatayo upanga,kariakoo,msasani,masaki, kinondoni,mikocheni na oysterbay.
kwa mawasiliano na maswali, napatikana kwa no 0712-117383 au 0692-340664.
IMG-20191220-WA0000[1].jpg
IMG-20191220-WA0001[1].jpg
IMG-20191220-WA0002[1].jpg
 
Zuku ni conservative zaidi ya Startimes, hawajawahi kufanikiwa kwenye lolote!
 
Hiyo ni unlimited data?,au kuna kiwango ukifikia speed wanapunguza?
 
Watu wa jf mmezidi ujuaji aisee
Sio nimezidi ujuaji nishawahi piga zuku countless time kuwauliza kuhusu huduma zao wakabidi wanvutie simu hadi kwa boss wako coz nilikua nahitaji ISP kwa sasa natumia ttcl ila its expensive (nalipia 69k kwa 2mbps) na hitilafu ikitokea wapo sluggish sana...Kwa kifupi Zuku bado hawapo tayari hasa hasa kimiundo mbinu kufanya market expansion naona hawaamin masoko nje ya masak,kinondon na mjini
Next time jua kwa nini mtu kasema alichokisema kabla hujamuita mjuaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wanajamvi, karibuni sana niwapatie huduma ya zuku unlimited home internet, ni huduma nzuri yenye kasi zaidi, free device(router), na free installation kwa wateja wetu.
huduma kwa sasa ni uhakika kwa maeneo yafatayo upanga,kariakoo,msasani,masaki, kinondoni,mikocheni na oysterbay.
kwa mawasiliano na maswali, napatikana kwa no 0712-117383 au 0692-340664.View attachment 1298336View attachment 1298339View attachment 1298341
Shukran, Router inayotolewa hapa ni aina gani na maximum number of connected devices ni ngapi?

Je nisipolipia kwa mwezi husika mnakuja kuniondolea router yangu kwa sababu mmenopa bure au ikishafungwa ni yangu moja kwa moja?
 
Sio nimezidi ujuaji nishawahi piga zuku countless time kuwauliza kuhusu huduma zao wakabidi wanvutie simu hadi kwa boss wako coz nilikua nahitaji ISP kwa sasa natumia ttcl ila its expensive (nalipia 69k kwa 2mbps) na hitilafu ikitokea wapo sluggish sana...Kwa kifupi Zuku bado hawapo tayari hasa hasa kimiundo mbinu kufanya market expansion naona hawaamin masoko nje ya masak,kinondon na mjini
Next time jua kwa nini mtu kasema alichokisema kabla hujamuita mjuaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
huna lolote ,we unajifanya mjuaji tu ,we ndo wale mtaani wanajionaga wanajua kumbe watu wanawachukulia maboya tu
 
Back
Top Bottom