SOFTWARE ZUKU INTERNET

ZINDAGI

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2015
Posts
1,118
Reaction score
1,430
Naomba kupata maoni yenu wenye uzeofu na Zuku Internet, nataka kuweka package yao ya 20MB.

Maoni na ushauri please
 
Fujo zote unataka kuweka package ya 20 mb? Dah
 
It was typo error, I meant 20GB
Kama 20 gb sawa, kwa mimi nilikuwa natumia kule masaki wana system yao ya kuonganisha nyumba mpaka nyumba kupitia waya, kitaalam sjui wanaitaje, na ukijiunga bundle zao huwa zina channel za TV, so ni ww tu na kujidai, na speed yao iko poa sana kwa kule sijaona tatizo.
 
Na kwa kule customer care yao ipo vzuri, ukipata tatizo fundi wao anakuja fasta tu
 
Nashukuru kwa msaada wako, ofisi zao zipo wapi?
 
Hawa jamaa wapo ushuani tu sinza tabata etc hawana mpango nako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…