ZUKU Tv Services Launched in Tanzania

ZUKU Tv Services Launched in Tanzania

Openbook

New Member
Joined
Dec 16, 2011
Posts
2
Reaction score
0
Tanzania becomes the third country Zuku after the September launch in Uganda and August launch in Kenya. Zuku provides great premium entertainment at affordable rates.

Zuku offers over 60 channels of Wananchi Group. Zuku offers different packages for Tanzania as well and it will cost almost Tsh 62,000 (US $38) to get Zuku premium in Tanzania and Ush 30,000 (US $12) in Uganda as opposed to Ksh 1,999 (US $22) in Kenya. It is not clear why Zuku used this pricing strategy.



Endelea Kusoma ujumbe...
 

Attachments

  • Zuku.png
    Zuku.png
    230.2 KB · Views: 451
mkuu, mbona ulichoweka ndio hichohicho hakuna nyongeza wala nini.
and after all waache tu kwa maana hawataweza soko la tz amablo tayari lina provider wa namna hiyo kibao.
 
next time uweke kwenye matangazo madogomadogo!!
post ya kwanza na tangazo hapohapo!!

Dennis-10.jpg
 
Habari za kazi wanajamii hasa wa jukwaa letu pendwa la Tech.

Bila ya kupoteza muda wakuu ujio hawa jamaa(ZUKU TV) watatupatia afueni kwa sisi tunaotumia DSTV au na wao wataangukia pua kama GTV..

Itazindulia kesho Tarehe 20 January 2012 wametokea Kenya

site yao kwa ajili ya maelezo zaidi hii hapa..

ZUKU - Satellite TV, Cable TV, Broadband, Voice, Triple Play

kwa upande wa tanzania site hii hapa..

www.zuku.co.tz
 
Mimi nashangazwa na haya makampuni vifurushi vyao vinakuwa na bei kubwa zaidi ya mara mbili ukilinganisha na vifurushi hivyo huko Kenya na Uganda ni kwanini,kama thamani ya pesa mbona Tsh iko juu kuliko ya Ush.DSTV na Zuku ndo wanatukamua zaidi kwa vifurushi vyao,wenzetu Kenya ni sawa na buure,TCRA sijui hawalioni hili.pia mwenyekiti wa kampuni mama ya Zuku hapa TZ Mr Ali Mafuruki vipi mbona mnatwimbia mchana kweupe
 
mi nadhani hata yawe makampuni mangapi,tatizo litabaki pale pale kwenye malipo ya mwezi(vifurushi vyao)mfano hawa wana cha elfu 20,na kingine elf 40.ni watanzania wangapi wanaweza?!na mbona huko kwao inakuwa rahisi!au ni yale mambo ye2u ya kujifanya kuweka rate kubwa za kodi,wakati hazijulikani zinafanya nini!
 
Easy TV ndio kibogo yao tu channels zaidi ya 40 kwa tsh 9000 tu, unacheck movie kwa kwenda mbele na local channels zote zipo
 
Tatizo linakuja mimi nina Decoder ya DSTV,Startimes,EASY TV,Free to air na ile ya GTV ipo kama pambo, sijanunua Ting mara wanakuja na hii ZUKU... Hawa TCRA kwaniini wasiweke Standard Decorder Mtu unakwenda kuchukua Smart card tu???
 
Gharama zao zikoje

Ila Easy Tv Ndio Kiboko, kwa sisi wa kipato cha chini tunafaidi kinoma..............unaangalia Movie mpk macho yanakaribia kutoka
 
Tatizo linakuja mimi nina Decoder ya DSTV,Startimes,EASY TV,Free to air na ile ya GTV ipo kama pambo, sijanunua Ting mara wanakuja na hii ZUKU... Hawa TCRA kwaniini wasiweke Standard Decorder Mtu unakwenda kuchukua Smart card tu???

Siku moja nilimsikia jamaa wa TCRA akisema kwenye TV, kuwa condition moja wapo ni hawa wenye makampuni wanatakiwa waagize Universal Decoder ambayo zitaweza kutumia smart card toka kampuni yeyote ile. Kumbe alikuwa anapiga porojo na kutudanganya kama Nape? Hovyo kabisa!
 
Jamani nyumba zenyewe za kupanga sebule kama tundu la ndege unajaza madecorder mpaka kwenye makochi,
ngoja tuisikilizie tutanunua tu
 
inatoa huduma kama DSTV..
hawa hawajajipanga.....sports chaneli ni
---zuku sports
----sentanda ambayo hata startimes ipo...
----eaurosports news...

imagine hata CNN hawana....
 
hawa hawajajipanga.....sports chaneli ni
---zuku sports
----sentanda ambayo hata startimes ipo...
----eaurosports news...

imagine hata CNN hawana....

we acha tu hata hizo sport chanels zao sidhani kama wanaonesha gemu za EPL au La Liga au Serie A isije kuwa kama startimes tu.. ngoja tuone itakuwaje..
 
Nimesikia kuwa king'amuzi kipya kimekuja kikiwa na channel 70 kinaitwa Zook' kesho watailunch pale Golden hotel.
Kazi kwenu startimes and ting'
Source clouds sport extra na shaffie, miraji na nani cjui huju jina nimemsahau kidogoo
 
Back
Top Bottom