Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyote ni vizuri iwapo vitawekwa sehemu sahihi.Kwa mfano hilo la nyuzinyuzi hufaa zaidi sehemu isiyo na pilikapilika na yenye kudumisha usafi(vumbi na tope ni adui).Usafishaji wake ni wa gharama, huchukua muda na nguvu nyingi.Ghrama kununua.Wakuu, hiv kipi kipo poa kwa geto? Kati ya zulia au kapet la manyoya?
Zulia.
View attachment 2953113
Kapeti za manyoya
View attachment 2953111
Kuna mtangazaji wa TBC redio alisikika akisema msafara utatoka uwanja wa taifa utapita barabara ya Nyerere Road, kama haitoshi akasema watakwenda mpaka uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl Julius Nyerere International AirportKuna tofauti kati ya zulia na kapeti (carpet)? Mimi nadhani zulia ni kiswahili cha neno carpet!!!!!!!!!
Ahsante kwa ufafanuzi mzuriVyote ni vizuri iwapo vitawekwa sehemu sahihi.Kwa mfano hilo la nyuzinyuzi hufaa zaidi sehemu isiyo na pilikapilika na yenye kudumisha usafi(vumbi na tope ni adui).Usafishaji wake ni wa gharama,huchukua muda na nguvu nyingi.Ghrama kununua.
Hilo lingine la nylon(lailoni?)utunzaji wake ni mwepesi ila huchakaa haraka kulingana na lilipowekwa kimatumizi na watumiaji wenyewe.Siyo gharama sana kununua.
Hili ni chaguo la mtu hasa ikitegemea upo sehemu gani na nyumba inaingia watu gani na kwa kiasi gani. Kapeti la manyoya kama sehemu ina viroboto utakoma. Kwa kifupi lenye manyoya linahitaji nyumba nzuri za kistaarabu.Haya kati ya zulia la manyoya na lisilo na manyoya lipi zuri kwa geto ?
Kuna watu wana jeuri hata walikute hilo la manyoya wanaingia na viatu vyenye topeKama ww n msafi bc nenda na hilo la manyoya
Limit watu wakoKuna watu wana jeuri hata walikute hilo la manyoya wanaingia na viatu vyenye tope
Wa namna hiyo hana tofauti na kukuKuna watu wana jeuri hata walikute hilo la manyoya wanaingia na viatu vyenye tope
🤣Wa namna hiyo hana tofauti na kuku
Hivi ukitembelewa na mwanasiasa maarufu wa chama chetu unadhani atakuwa na muda huoLimit watu wako
Mtu kama mwenezi mstaafu utaanzia wapi kumlimitLimit watu wako
Mengine unasamehe tu.Uchague moja kati ya;-Kuna watu wana jeuri hata walikute hilo la manyoya wanaingia na viatu vyenye tope
Lipi linapendezesha geto zaidi ?Hili ni chaguo la mtu hasa ikitegemea upo sehemu gani na nyumba inaingia watu gani na kwa kiasi gani. Kapeti la manyoya kama sehemu ina viroboto utakoma. Kwa kifupi lenye manyoya linahitaji nyumba nzuri za kistaarabu.