Zulia vs Kapeti, kipi kinafaa kwa geto?

Hilo la Dom Mkuu... πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€

Babu aka Triple 5 namkubali sana.
Nikumbushe Kama babu ashawahi kuzungumzia geto lake,,
Maana kwenye Pamba nyepesi kataja gari ambazo nimekuja kuzijua mwaka huu
 
Nikumbushe Kama babu ashawahi kuzungumzia geto lake,,
Maana kwenye Pamba nyepesi kataja gari ambazo nimekuja kuzijua mwaka huu
Hahaaa korando rozi rozi range mara mesidesi benziii long tym sana hiyo mwamba anataja mipira mikaree!!

Babu anapenda kuzungumzia masotojo.
 
Basi usikaribie kwangu,tiles sipendi naona miguu inapata ubaridi

Carpet la plastic naona la kiduanzi Kama kwa Mama yangu

Morrocan Rug ndio natumia..
Nitakaribia vizuri tu usinipangie πŸ˜‚

Yah namaanisha sote tunatumia ila ilipaswa tukazane sana katika kuzingatia usafi wake, imagine kuishi na likitu lenye vumbi nusu kilo!!
 
Nitakaribia vizuri tu usinipangie πŸ˜‚

Yah namaanisha sote tunatumia ila ilipaswa tukazane sana katika kuzingatia usafi wake, imagine kuishi na likitu lenye vumbi nusu kilo!!
Haha Sasa kuanzia leo nikikwambia " yo nipo car wash nitakupigia" usidhani nishajipata na push IST,Naenda kufua Zulia..hah
 
Haha Sasa kuanzia leo nikikwambia " yo nipo car wash nitakupigia" usidhani nishajipata na push IST,Naenda kufua Zulia..hah
Wana JF ndio sisi tuko mitaani, sum of us tunapanda daladala, wengine ndio hao wenye hizi V8.

Hamna cha ajabu at all.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…