Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Kazi Kweli KweliKuna tofauti kati ya zulia na kapeti (carpet)? Mimi nadhani zulia ni kiswahili cha neno carpet!!!!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi Kweli KweliKuna tofauti kati ya zulia na kapeti (carpet)? Mimi nadhani zulia ni kiswahili cha neno carpet!!!!!!!!!
Hah uliacha kitambo ku tease mistari haswa ya Haroun Kahena..hili geto la Dom au East zooKapeti manyonya mwendo DSTV ,zinga la mziki linatwanga tu CD na hakuna Fan Full time ni AC.
Hilo la Dom Mkuu... 😀 😀 😀 😀Hah uliacha kitambo ku tease mistari haswa ya Haroun Kahena..hili geto la Dom au East zoo
Nikumbushe Kama babu ashawahi kuzungumzia geto lake,,Hilo la Dom Mkuu... 😀 😀 😀 😀
Babu aka Triple 5 namkubali sana.
Hahaaa korando rozi rozi range mara mesidesi benziii long tym sana hiyo mwamba anataja mipira mikaree!!Nikumbushe Kama babu ashawahi kuzungumzia geto lake,,
Maana kwenye Pamba nyepesi kataja gari ambazo nimekuja kuzijua mwaka huu
Mam o ya kizamani hayo.. hadi hii bado mnannunua makapeti?
Mavyapati laini laini makoronyaHahaaa korando rozi rozi range mara mesidesi benziii long tym sana hiyo mwamba anataja mipira mikaree!!
Babu anapenda kuzungumzia masotojo.
Beef cow kitimoto pork ndani ya friji friza vimimimika vya kumwagililu mpaka kusaza.Mavyapati laini laini makoronya
Utachagua mwenyewe.. ila kama bado huko kijijini ninua kapetiKwahiyo ndani tupige tailizi,talazo au floor ya niru?
Nitakaribia vizuri tu usinipangie 😂Basi usikaribie kwangu,tiles sipendi naona miguu inapata ubaridi
Carpet la plastic naona la kiduanzi Kama kwa Mama yangu
Morrocan Rug ndio natumia..
Haha Sasa kuanzia leo nikikwambia " yo nipo car wash nitakupigia" usidhani nishajipata na push IST,Naenda kufua Zulia..hahNitakaribia vizuri tu usinipangie 😂
Yah namaanisha sote tunatumia ila ilipaswa tukazane sana katika kuzingatia usafi wake, imagine kuishi na likitu lenye vumbi nusu kilo!!
Wana JF ndio sisi tuko mitaani, sum of us tunapanda daladala, wengine ndio hao wenye hizi V8.Haha Sasa kuanzia leo nikikwambia " yo nipo car wash nitakupigia" usidhani nishajipata na push IST,Naenda kufua Zulia..hah