Zungu acha kudanganya umma, kwamba Tende ni chakula cha kiroho kilichoandikwa katika Wagalatia 5:23,22

hamis77

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
18,678
Reaction score
27,653
Dah!
😀

Kama mbunge una makontena ya Tende bora useme tu kuliko kudanganya bunge na umma wa watanzania kiasi hiki.

Kwamba Tende ni Sunnah, na Yesu alikula Mana na Tende ambacho ni chakula kitakatifu, hivyo Tende ziondolewe kodi ili Wakristo na Waislam tule Tende chakula kitakatifu alichokula Yesu na Muhamad ili tubarikiwe. Tende ni chakula cha kiroho kilichoandikwa katika Wagalatia 5:23,22, asema mbunge.

☝️
Nilistuka nikasema moyoni kumbe Biblia siijui, ikabidi nifungue fungu hilo kwa upya huenda nasomaga vibaya. Nikafungua,
"Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria.
Gal 5:22‭-‬23 SUV"

☝️
Nikakuta Mbunge kachapa kamba bunge na umma.
Na mwisho mbunge akakaza uzi kwamba Waisrael walivyofika jangwani baada ya Kutoka Misri chakula chao cha kwanza ni Tende. Akatoa andiko Exodus 15 point 2. 7. Jamani tuleni tende, asema mbunge. Nikajisemea moyoni au kakosea kutamka aya maana sijawai sikia aya za mtindo huo, nikaona labda alimaanisha aya ya 2 na ya 7. Nikafungua Biblia nikakuta hivi,

BWANA ni nguvu zangu, na wimbo wangu; Naye amekuwa wokovu wangu. Yeye ni Mungu wangu, nami nitamsifu; Ni Mungu wa baba yangu, nami nitamtukuza. Kwa wingi wa ukuu wako wawaangusha chini wanaokuondokea, Wapeleka hasira yako, nayo huwateketeza kama mabua makavu.Kut 15:2‭, ‬7 SUV

☝️
Kumbe wimbo wa wokovu na si Tende, nikasema mbunge amejaa urongo kwelikweli, nikawaza bilashaka bunge hili linatudanganya (ga) kwa mengi.
Na unaweza sema anatoa kichwani, ameandika kabisa hoja zake kwenye vitini. Na mwisho anasema anaunga hoja, sijui hoja gani. Na wabunge wenzake wanagonga meza na kumpigia makofi. Nimepatwa na wasiwasi na bunge hili.
 
Isingekuwa kuvunja katiba, tungeshauri Mama avunje hili bunge ili abaki yeye na CAG na pesa inayolipwa wabunge ipelekwe sehemu nyingine kutatua changamoto kwa wananchi. Kwa kweli kule hakuna bunge, bora yale mambo wanayoongelea yahamishiwe kwenye majukumu ya chama moja kwa moja
 
Mkuu hamis77 ,huyo ni tapeli la Ilala. Ukimkuta pale kijiweni Kivukoni,ndio utaamini huwa bungeni wanaenda "empty set".

Wabunge wote wa majimbo wa 2020 ni "laghai" na "empty set" kupindukia. Wabunge wote wa majimbo wa 2020 ni "sadists" ndio maana hukuona mbunge hata mmoja akihoji yaliyokuwa yanatendeka chini ya bwana mwendazake.

Wabunge wote wa majimbo wa 2020 ni "misukule" ya mwendazake,ndio maana walimuabudu kuliku Muumba wao. Kumwamini mwanasiasa yataka uwe na moyo wa paka.

Kumwamini mwanasiasa wa CCM yataka uwe umetolewa ubongo.
 
Wabunge halali walikuwa ni wale wa kutoka upinzani tu. Hao wa ccm kazi yao kubwa ni kupiga vigelegele, kusifia serikali na kupiga vijembe tu wale wanao ikosoa serikali kwa kufanya madudu mbalimbali.
 
Dah!
[emoji3]

Kama mbunge una makontena ya Tende bora useme tu kuliko kudanganya bunge na umma wa watanzania kiasi hiki.

Kwamba Tende ni Sunnah, na Yesu alikula Mana na Tende ambacho ni chakula kitakatifu, hivyo Tende ziondolewe kodi ili Wakristo na Waislam tule Tende chakula kitakatifu alichokula Yesu na Muhamad ili tubarikiwe. Tende ni chakula cha kiroho kilichoandikwa katika Wagalatia 5:23,22, asema mbunge.

[emoji3516]
Nilistuka nikasema moyoni kumbe Biblia siijui, ikabidi nifungue fungu hilo kwa upya huenda nasomaga vibaya. Nikafungua,
"Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo hakuna sheria.
Gal 5:22‭-‬23 SUV"

[emoji3516]
Nikakuta Mbunge kachapa kamba bunge na umma.
Na mwisho mbunge akakaza uzi kwamba Waisrael walivyofika jangwani baada ya Kutoka Misri chakula chao cha kwanza ni Tende. Akatoa andiko Exodus 15 point 2. 7. Jamani tuleni tende, asema mbunge. Nikajisemea moyoni au kakosea kutamka aya maana sijawai sikia aya za mtindo huo, nikaona labda alimaanisha aya ya 2 na ya 7. Nikafungua Biblia nikakuta hivi,

BWANA ni nguvu zangu, na wimbo wangu; Naye amekuwa wokovu wangu. Yeye ni Mungu wangu, nami nitamsifu; Ni Mungu wa baba yangu, nami nitamtukuza. Kwa wingi wa ukuu wako wawaangusha chini wanaokuondokea, Wapeleka hasira yako, nayo huwateketeza kama mabua makavu.Kut 15:2‭, ‬7 SUV

[emoji3516]
Kumbe wimbo wa wokovu na si Tende, nikasema mbunge amejaa urongo kwelikweli, nikawaza bilashaka bunge hili linatudanganya (ga) kwa mengi.
Na unaweza sema anatoa kichwani, ameandika kabisa hoja zake kwenye vitini. Na mwisho anasema anaunga hoja, sijui hoja gani. Na wabunge wenzake wanagonga meza na kumpigia makofi. Nimepatwa na wasiwasi na bunge hili.
Hilo hamaa firaji jinga sana
 
Wanawaza kula tu, na huu mfungo wa ramadhani akili yote inawaza futari na tende ikiwemo.

Wakishavimbiwa hawana muda wa kujiongeza au kufafanua neno zaidi.
 
Hivi Gwajima ni Askofu? Je alikuwepo? ...... na hakuomba muongozo au kutoa taarifa kurekebisha hilo?...........
 
Back
Top Bottom