Zungu achana na tozo hangaika na Liganga na Mchuchuma

Huyu mzee hivi anajuwa wengi wetu tukiamka ndiyo tunawaza hela ya mboga tutapata wapi? mana kipato chetu hakiruhusu kulala na akiba.Hakika aliyeshiba hamjuwi mwenye njaa.
 
Mh. Zungu msaidie Mpina kudai hizi pesa badala ya kukimbilia wanyonge wakatwe tozo. Msaidie boss wako kuibana serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…