Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
toa mwongozo na ufafanuzi kuhusu taratibu za bunge na mahusiano kati ya Kamati za Bunge na taarifa za CAG. Hapa kuna nukuu muhimu kutoka kwenye video hiyo;
"Wakati wa jioni Bunge lilipokuwa limerejea Mheshimiwa Ado Shaibu Ado Mbunge, alipata fursa ya kuchangia hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, mara bada ya muda wake wa kuchangia kuisha Kiti kilimjulisha juu ya suala hilo, baada ya maelekezo hayo Mheshimiwa Ado aliendelea kuzungumza ni vema kujirekebisha na kujiepusha na vitendo hivyo vya utovu wa nidhamu."