Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
"onyo kali" ni pamoja na kumfungia kwa miezi isiyopungua 6.Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu ametoa onyo kwa Mbunge wa Kishapu, Lucy Mayenga kufuatia kauli zake za kuudhi na kudhalilisha alizozitoa dhidi ya Mbunge wa Viti Maalum (CHAUMMA) Sigrada Mligo Mei 21, 2026 wakati wa mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Ujenzi.
Wabunge hawana viwango, Spika hana viwango!Hakuna bunge la wananchi sasa. Mara ya mwisho bunge ni 2015-2020.
Sasa hivi ni genge la wahuni kwa masilahi ya familia na washirika wao.
Ninajipanga nije nimle huyu Lucy Mayenga! Ni jirani yangu huku mtaani!Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu ametoa onyo kwa Mbunge wa Kishapu, Lucy Mayenga kufuatia kauli zake za kuudhi na kudhalilisha alizozitoa dhidi ya Mbunge wa Viti Maalum (CHAUMMA) Sigrada Mligo Mei 21, 2026 wakati wa mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Ujenzi.
"Maneno aliyotumia Mhe. Lucy Mayenga, Mbunge, tarehe 21 Mei 2026 kwamba 'mbunge hajitambui' ni lugha ya kuudhi, kudhalilisha na kumsema vibaya mbunge mwingine. Aidha, Mhe. Mayenga alitumia maneno yafuatayo: 'Mheshimiwa Naibu Spika, sitaki taarifa zako na wewe hebu kaa chini.' Maneno hayo hayaonyeshi heshima kwa kiti kilichokuwa kinaongoza kikao, wala kwa mbunge aliyewomba nafasi ya kutoa taarifa. Ikumbukwe kwamba kabla kiti hakijatoa uamuzi wa ombi la Mhe. Sigrada, Mhe. Lucy Mayenga aliingilia kati kwa kutumia lugha niliyoitaja hapo juu.
Waheshimiwa Wabunge, kutoheshimu kiti na kutumia lugha isiyo ya kibunge ni ukiukwaji wa kanuni za bunge zinazosimamia majadiliano bungeni. Hivyo, natoa onyo kwamba maneno na vitendo hivyo visirudiwe ndani ya Bunge."
Angekuwa wa upinzani hapo angeitwa kwenye kamati ya maadili na kufungiwa!!Wabunge hawana viwango, Spika hana viwango!
Jiandae kuanza doziNinajipanga nije nimle huyu Lucy Mayenga! Ni jirani yangu huku mtaani!
Aaah, nephew, ana umeme? Nitamla tu hivyo hivyo Bora nimejua mapema! Hawa ccm ukiwakamata ni wa kuwapa suluba wala siyo mapenzi tena unahakikisha miguu igusa dari, Matako yao!Jiandae kuanza dozi
Hapo huo mkusanyiko si bunge bali ni kijiwe cha CCM.Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu ametoa onyo kwa Mbunge wa Kishapu, Lucy Mayenga kufuatia kauli zake za kuudhi na kudhalilisha alizozitoa dhidi ya Mbunge wa Viti Maalum (CHAUMMA) Sigrada Mligo Mei 21, 2026 wakati wa mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Ujenzi.
"Maneno aliyotumia Mhe. Lucy Mayenga, Mbunge, tarehe 21 Mei 2026 kwamba 'mbunge hajitambui' ni lugha ya kuudhi, kudhalilisha na kumsema vibaya mbunge mwingine. Aidha, Mhe. Mayenga alitumia maneno yafuatayo: 'Mheshimiwa Naibu Spika, sitaki taarifa zako na wewe hebu kaa chini.' Maneno hayo hayaonyeshi heshima kwa kiti kilichokuwa kinaongoza kikao, wala kwa mbunge aliyewomba nafasi ya kutoa taarifa. Ikumbukwe kwamba kabla kiti hakijatoa uamuzi wa ombi la Mhe. Sigrada, Mhe. Lucy Mayenga aliingilia kati kwa kutumia lugha niliyoitaja hapo juu.
Waheshimiwa Wabunge, kutoheshimu kiti na kutumia lugha isiyo ya kibunge ni ukiukwaji wa kanuni za bunge zinazosimamia majadiliano bungeni. Hivyo, natoa onyo kwamba maneno na vitendo hivyo visirudiwe ndani ya Bunge."
Hapo ndo unakosea zaidi. Ukiwa unadhani mwanamke anakomolewa kwa kumkamia show ety unakomoa bado akili yako haijaelewa mfumo wa dunia ulivyo. Hilo shimo halijawahi kukomolewa, sana sana unajikomoa na unajisogezea kaburini.Aaah, nephew, ana umeme? Nitamla tu hivyo hivyo Bora nimejua mapema! Hawa ccm ukiwakamata ni wa kuwapa suluba wala siyo mapenzi tena unahakikisha miguu igusa dari, Matako yao!