Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Yaani hii post nime LIKE Mimi tuu😭🙌🏿 mpaka sasa🥵Spika wa Bunge Mussa Azzan Zungu (Mb), ameongoza kikao cha Tume ya Utumishi wa Bunge kilichofanyika siku ya leo tarehe 24 Machi, 2026 katika Ofisi ya Bunge, Jijini Dodoma.
Katika kikao hicho, Wajumbe wa Tume walipokea na kujadili Taarifa ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Mfuko wa Bunge kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027.
Wameweka picha bado yuko fitIla huyu alipewaje uspika ili hali hata kwa muonekano ni mtu alo dhoofika kiafya?
HahahahaYaani hii post nime LIKE Mimi tuu😭🙌🏿 mpaka sasa🥵
Daaaaah basi tuSpika wa Bunge Mussa Azzan Zungu (Mb), ameongoza kikao cha Tume ya Utumishi wa Bunge kilichofanyika siku ya leo tarehe 24 Machi, 2026 katika Ofisi ya Bunge, Jijini Dodoma.
Katika kikao hicho, Wajumbe wa Tume walipokea na kujadili Taarifa ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Mfuko wa Bunge kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027.
Pia Zungu amekagua ukumbi wa Bunge ambao umefanyiwa maboresho ya kuwekewa mfumo wa kisasa wa sauti ikiwa ni maandalizi kabla ya kuanza kwa Mkutano wa 3 wa Bunge la 13 ambao mahususi kwaajili kujadili na kupitisha Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 ambao utaanza Machi 31, 2026.
ARV zinamlinda sana dadeq !!Spika wa Bunge Mussa Azzan Zungu (Mb), ameongoza kikao cha Tume ya Utumishi wa Bunge kilichofanyika siku ya leo tarehe 24 Machi, 2026 katika Ofisi ya Bunge, Jijini Dodoma.
Katika kikao hicho, Wajumbe wa Tume walipokea na kujadili Taarifa ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Mfuko wa Bunge kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027.
Pia Zungu amekagua ukumbi wa Bunge ambao umefanyiwa maboresho ya kuwekewa mfumo wa kisasa wa sauti ikiwa ni maandalizi kabla ya kuanza kwa Mkutano wa 3 wa Bunge la 13 ambao mahususi kwaajili kujadili na kupitisha Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 ambao utaanza Machi 31, 2026.
Waliokuwa wanamuuguza ndio hao hao walizusha...Nakerwa sana na tabia za wanaharakati za kushabikia midundo ya wanamtandao ,hizi taarifa sijui za mafwele kafanywaje mara zungu kafanya hivi ni twisting tu hakuna chochote ,hao watu wakifanyiwa kweli haiji kama tetesi inakuja live na hata wakikata moto inakuja straight.
Waliokuwa wanamuuguza ndio hao hao walizusha...
Possibly, waliona dalili zote kuwa huyu hatoboi, lakini ghafla majini ya Kizimkazi kwa Chura Kiziwi, yakampa uhai wa muda..
Lakini, kwa muonekano wake tu, ni wazi anaumwa, afya yake + uzee unampeleka kaburini. Na hii ni kawaida, sio ajabu...
We jamaa .... lyimo mtoto mdogo sana kwa huyo kingunge network yake pana sanaAretas anajifanyaga hamuoni huyu dingi😅
Sheria ifanye kazi kote koteWe jamaa .... lyimo mtoto mdogo sana kwa huyo kingunge network yake pana sana
Mbona ana vidole 6?Wameweka picha bado yuko fitView attachment 3562115
Cha sita cha shetaniMbona ana vidole 6?