Zungu atoa ufafanuzi kuhusu kodi ya mtandao

Eti mkuu wakatwe..wao
Si kweli. Simu iwepo isiwepo ni watu wachache wana uwezo wa kutembeiea ndugu zao kwa sababu hiyo hiyo ya ukosefu wa pesa. Wenzetu hamna shida kwani kwa siku mnaingiza si chini ya sh. 300,000 hivyo sh. 1,000 ni kama tone moja tu la maji baharini.
Mkuu
 
Uzalendo ungeanza na wabunge kupunguza mishahara yao walau kwa 30% ili fedha hizo zitumike katika miradi ya maendeleo. Nachoona viongozi wengi waliopo kwenye nafasi za kimaamuzi wameishiwa uwezo wa kufikiri. They cant come up with new ideas,

Sent from my vivo 1611 using JamiiForums mobile app
You are absolutely right. They can't come up with new ideas. This same idea was presented during the Budget speech 7 years back. Both the service providers and wananchi joined hands to fight against it. The Muzungu was there, unfortunately as he grows old some of the memory seem to be rubbed off. Jamani pumzikeni mlee wajukuu ili na vijana wenu wapate walau huo Ubunge.
 
View attachment 1759046

Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu, alipendekeza kuwepo kwa kodi ya Uzalendo itakayokatwa kila siku kupitia Mitandao ya Simu kwa kila Mtanzania ili kuwa chanzo kipya cha mapato kwa Serikali.

Zungu amejibu kwa ku-comment kwenye ukurasa wa Instagram wa JamiiForums akieleza kuwa Tsh. Bilioni 540 alizotaja sio kwa siku bali zitakusanywa kwa mwaka.

Pia amewataka wananchi kufikiria mahitaji ya elimu, huduma za afya na barabara ambazo zinapaswa kugharamiwa.

Zungu amesema mitandao ya simu imefanya watu waishie kupigiana simu na kuokoa kiasi cha nauli ambacho wangetumia kuwatembelea ndugu zao. Hivyo sio mbaya kulipa kodi.

ZAIDI SOMA
-
Azzan Zungu ataka uwepo wa kodi ya uzalendo itakayokatwa kwenye Mitandao ya simu kwa kila Mtanzania
Inabidi tumchunguze uraia wake huyu babu!
 
Uzalendo ungeanza na wabunge kupunguza mishahara yao walau kwa 30% ili fedha hizo zitumike katika miradi ya maendeleo. Nachoona viongozi wengi waliopo kwenye nafasi za kimaamuzi wameishiwa uwezo wa kufikiri. They cant come up with new ideas,

Sent from my vivo 1611 using JamiiForums mobile app
...Yeah, Comrade. You can't Teach an Old Dog new Tricks....Wenye Kiingereza Chao husema!![emoji848][emoji848]
 
Mi5 tena.
Wana ilala wamelala kweli
 
View attachment 1759046

Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu, alipendekeza kuwepo kwa kodi ya Uzalendo itakayokatwa kila siku kupitia Mitandao ya Simu kwa kila Mtanzania ili kuwa chanzo kipya cha mapato kwa Serikali.

Zungu amejibu kwa ku-comment kwenye ukurasa wa Instagram wa JamiiForums akieleza kuwa Tsh. Bilioni 540 alizotaja sio kwa siku bali zitakusanywa kwa mwaka.

Pia amewataka wananchi kufikiria mahitaji ya elimu, huduma za afya na barabara ambazo zinapaswa kugharamiwa.

Zungu amesema mitandao ya simu imefanya watu waishie kupigiana simu na kuokoa kiasi cha nauli ambacho wangetumia kuwatembelea ndugu zao. Hivyo sio mbaya kulipa kodi.

ZAIDI SOMA
-
Azzan Zungu ataka uwepo wa kodi ya uzalendo itakayokatwa kwenye Mitandao ya simu kwa kila Mtanzania
dalili ya kupotea kisiasa
 
Uzalendo wao wapunguziwe mishahara na ma allowance basi

Ova
 
Back
Top Bottom