wengi wanadhani hii kauli ya dogo zungu anasema kwamba ukilipia 5000 mbs za wiki kwamba zikae wiki yote nzima kwamba wewe ni kitumia tu.Ku carry foward inawexekana, kuna baadhi ya kampuni walishaanza kufanya.
By the way sasa hv watu wanajiunga vifurushi vya week na mwezi, hilo sio tatizo tena.
Sasa kama umepewa 10 GB kwa mwezi na umezitumia ndani ya wiki, unatakaje?Kwani ni bando gani analizungumzia?
Bando hili hili la wiki tunalojiunga mara tatu kwa wiki hiyohiyo moja na anasema huwa linabaki?
Mimi najiunga bando la mwezi mara tatu ndani ya mwezi huo huo mmoja, au nimevuta bangi?
Cha kuongelewa hapo ni gharama za internet zipungue
Mi nakumbuka April imeisha nina 39GB zili expire! Kama kungekua na balance brought foward ingenisaidia pia May kujiunga na kifurushi kidogo!Ku carry foward inawexekana, kuna baadhi ya kampuni walishaanza kufanya.
By the way sasa hv watu wanajiunga vifurushi vya week na mwezi, hilo sio tatizo tena.
Zipo nchi wanafanya hivyosijui kama mnajua maana ya subscription nyie majamaa biashara yoyote haiwezi fanya ujinga kama huo umepewa options quality na durability ya option lazima iendane na hela huwezi weka kifurushi cha 500 eti wakusubirie wewe mpaka kiishe how will they make profit?
View attachment 3582384
zipi hizo? leta dataZipo nchi wanafanya hivyo
Tanzania watu wanaibiwa sana huko kwenye bando nilishangaa bando likiisha mtu hawezi hata kutuma text ya WhatsApp au audio ya Emergency si wizi huo...SA mtu hana bando ila simu uwezi kumpigia ataona ikiita atatuma text sina bando nitumie ujumbe kama ni Emergency hapa wizi na wanaoibiwa hawajui kama wanaibiwa kama wewe...sijui kama mnajua maana ya subscription nyie majamaa biashara yoyote haiwezi fanya ujinga kama huo umepewa options quality na durability ya option lazima iendane na hela huwezi weka kifurushi cha 500 eti wakusubirie wewe mpaka kiishe how will they make profit?
View attachment 3582384
Unataka profit zaidi ya mimi kununua hicho kifurushi cha 500?sijui kama mnajua maana ya subscription nyie majamaa biashara yoyote haiwezi fanya ujinga kama huo umepewa options quality na durability ya option lazima iendane na hela huwezi weka kifurushi cha 500 eti wakusubirie wewe mpaka kiishe how will they make profit?
View attachment 3582384