Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
TTCL - SerikaliSpika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu (Mb), Juni 15, 2026, ameeleza Bungeni kuwa tangu Serikali ilipofanya marekebisho ya Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (EPOKA) mwaka 2016, kampuni zote za simu zilitakiwa kuuza angalau asilimia 25 ya hisa zake kwa umma kupitia soko la hisa ndani ya kipindi kilichoishia Juni 2018.
Amesema hadi sasa ni kampuni ya Vodacom pekee iliyotekeleza takwa hilo la kisheria, huku akihoji kwa nini Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) zimeshindwa kuhakikisha sheria hiyo inatekelezwa na kampuni nyingine.
Soma: Fahamu Faida na Mbinu za Kupeleka Kampuni/ Biashara katika SOKO la HISA
Kutokana na hali hiyo, Spika amezielekeza TCRA na CMSA kukutana na Kamati ya Bajeti kueleza sababu za kutotekelezwa kwa sheria hiyo, akisisitiza kuwa Serikali inapoteza mapato mengi kutokana na kutotekelezwa kwa sheria, huku akitolea mfano nchi jirani inayokusanya zaidi ya Shilingi bilioni 480 kwa mwaka kupitia gawio la kampuni za simu.
Yah, amekuja kuwasemea wakuu. Kuna wabig watakuwa wamepiga pesa ndefu wanatafuta sehemu tamu waziweke. mbali na hilo, sera ya wazawa kumiliki sehemu fulani ya haya makampuni ni nzuri. Iwe kwenye makampuni yote, hasa ya uchimbaji.Meza anayotikisa Zungu ina vinywaji vya gharama sana.
Ukiona hivyo, ujue kuna mpango wanataka kuutekeleza na Zungu amechokoza ili ifahamike Public.
Soon watalifanyia kazi na lengo lao litatimia.
Hilo la Zungu utekelezaji wake hautakuwa na mslahi yoyote kwa Taifa, kuna kundi linaenda kufaidika na maamuzi.
Tanzania bila rushwa, haiwezekani.
Mkuu umechungulia mbali, nakumbuka Roystamu walipiga parefu mauzo ya hisa za Vodacom. Wakati zinauzwa sokoni kwa 850, wajuvi wa mambo walihadharisha hisa hizo bei yake ilifurutu maradufu. Wajanjaa walipiga pesa wakaja kununua tigo. Naona wanataka toa remixMeza anayotikisa Zungu ina vinywaji vya gharama sana.
Ukiona hivyo, ujue kuna mpango wanataka kuutekeleza na Zungu amechokoza ili ifahamike Public.
Soon watalifanyia kazi na lengo lao litatimia.
Hilo la Zungu utekelezaji wake hautakuwa na mslahi yoyote kwa Taifa, kuna kundi linaenda kufaidika na maamuzi.
Tanzania bila rushwa, haiwezekani.
Hichi ndicho nilichowaza mimi,kuna upigaji unataka kufanyika na zungu ndio msemaji wao/dalali.Tangu lini mwarabu koko/mvamizi akawa na uchungu na tanganyika?Meza anayotikisa Zungu ina vinywaji vya gharama sana.