Zungu: Wananchi wanatozwa gharama kubwa

😳😳😳😳😳😳


View attachment 1928291

Mheshimiwa analalamika wananchi wanatozwa GHARAMA KUBWA!!, Bongo sihami
 
Mtu mmoja mwenye Sura mbili🤣🤣
 
Wanasiasa wetu ndo walivyo vigeugeu leo wanasema hiki kesho wanasema kingine
 
Mkuu hawa watu wanashangaza sana. Wanaropoka ropoka tu kama MAZWAZWA. Yaani huyu ndiyo analijua hili leo baada ya kuwa Mbunge wa vipindi vitatu!?
Mtu mmoja mwenye Sura mbili🤣🤣
 
Na Ilala wakimchagua tena 2025 nitajua kweli hilo jimbo halina wapiga kura wenye akili timamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…