Zunguka Tanzania nzima ukipata mwanamke mrembo kumzidi huyu nidai milioni

Traveller X

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2017
Posts
271
Reaction score
305
Sio kwamba natafta kiki au nasifia sana au vipi, ila nasema hivi zunguka tanzania nzima ukikutana na mwanamke wa miaka zaidi ya 34 ambae anamwonekano au uzuri kumzidi huyu zari basi naomba nidai milioni moja, sutaniii, tuwekee picha ya huyo mwanamke hapa na sisi tutalinganisha kama kweli amemzidi zari,

Mtoto mashallah...
 
Mbona umedumaa akili
 
kakuta pesa ndo maana na miaka yake hiyo 34 haja teseka,sio nyie mpaka mbahatike mwenye pesa msha kula dushelele mia na kitu wakati katoka kwa huyu kaingia mond na pesa hipo.mbona mama yake diamond sasa anaonekana mzuri tu na mtu kasimamia kucha kampa mimba
 
Pumbavu kabisa zari ni Mtanzania mpaka umfananishe na wanawake wa Kitanzania
Nenda kwenye Forum za waganda ukapeleke upuuzi wako
Kwa hivi na mama yako aliyekuzaa hamfikii huyu ma....a
Watanzania aliywaloga nani???
Mkamfananishe na Waganda wenzie tuondolee huu upupu zari zari nyambafu kabisa
I value myself n every Tanzanian Woman******* I mean Tanzanians
 

Pigisha kura mkuu.










Huyu ana umri zaidi ya Zari lakini una mwona?

Lakini pia yawezekana mjukuu wangu Zari akafubaa mwonekano kwa ajili ya stress za maisha ya upuuzi wa mumewe!. Angelikuwa na mtu kam aMzee Mengi, bila shaka angelikuw atofauti. Asingeonekan mtu wa huzuni na mashaka kila wakati.
 
We ni wa dar,njoo huku na hiyo million yako uwaone waliokuja kuhesabiwa hiyo hela ikusaidie nauli uendee hadi kwa wambulu,zunguka Arusha nadhani utamuona ni wa kawaida sana
NB siwezi kuweka picha zao bila ridhaaa
 
Mhhh hili povu ni la kiwango cha grisi wacha nichukue nipake vyuma vyangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…