Zunguka Tanzania nzima ukipata mwanamke mrembo kumzidi huyu nidai milioni

Zunguka Tanzania nzima ukipata mwanamke mrembo kumzidi huyu nidai milioni

Uzuri wa uzuri ni subjective, mwanamke mzuri kwako kwangu anaweza kuwa mbaya na mzuri kwangu anaweza kuwa mbaya kwako.
 
c6f95d45409d56b9d8378ee221f4e4f9.jpg
34 yrs..... Ukibisha nakuda data.. Zari akajikusanye kwanza kwa hiki chuma halaf arud hapa kuomba pooo


Nimemwona kule Twoo huyu dada
 
hiv kiwango chako cha elimu dalasa la ngapi maana unafikilia ujinga sana watu kama nyie wanaume ndio mashoga


Matumizi ya "l" na "r" yanakupa shida. Andika vizuri ili wanajamvi wasije kuuliza kiwango chako cha elimu.
 
ni kwa sababu mke wangu nimeshamuoa..ziwezi kumuweka hapo kama bango la matangazo ingalikuwa mapindi yale bata bati ningetupia kama usingemfuta huyo mganda wako..........
huyo zari wako house girl tu... halafu hujatembea wewe... ukaona watu...
umekurupuka.....
 
Wewe uliandika lazima unalaana ya mama ako inamaana ni mzuri kupita mama ako mbona mama ako ni mzuri kuliko huyo
 
Back
Top Bottom