Zunguka Tanzania nzima ukipata mwanamke mrembo kumzidi huyu nidai milioni

Zari ni mzuri and I like her kwa kujituma kwake ila hamzidi mke wangu hata siku moja.
 
Na bado mapacha wanakuja chezea wabongo
 
Unajibishana na chizi hhhaaa,,umemjibu vizurii
 
!
!
Anaonekana akijamba mbu na inzi lazima wafe. Kakomaa kama anakula cement. Ushuzi wake si wa nchi hii huyu
 
Umepotea ndugu sasa huyo ni mtanzania
Kuna watu wana umri zaid ya miaka 50 huyo Zari wako aingii
 
Mrembo ni mke wangu tu
Anaenisongea ugali Kila siku

Hawa wengine kanyaboya tu!!!
 
kuna picha mange kimambi kaipost inaonesha zari kakongoroka kawa kikongwe. sa sijui ni make up zake before selfie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…