habari zenu wakuu , kama kichwa cha habari hapo juu natafuta giabox ya suzuki kei nimehangaika sana maduka ya dar lakini skubahatika .mwenye kujua zaid wapi nitapata nomamba anipe mwanga kidogo nashukuru

Maduka ya Dar ya wapi hayo mkuu? Maana mie niliona duka moja pale Shauri moyo ana hizo engines ila sikumbuki ni duka gani. Si unajua pilipili usioila? Nenda kuanzia hapa usawa wa Al~haramain kwenda Machinga complex