zusuki kei

zusuki kei

upeo

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2013
Posts
369
Reaction score
218
habari zenu wakuu , kama kichwa cha habari hapo juu natafuta giabox ya suzuki kei nimehangaika sana maduka ya dar lakini skubahatika .mwenye kujua zaid wapi nitapata nomamba anipe mwanga kidogo nashukuru
 
Mkuu umeandika magar mawili tofaut nje zusuki ndani suzuki lipi hapo umekusudia?
 
habari zenu wakuu , kama kichwa cha habari hapo juu natafuta giabox ya suzuki kei nimehangaika sana maduka ya dar lakini skubahatika .mwenye kujua zaid wapi nitapata nomamba anipe mwanga kidogo nashukuru
Maduka ya Dar ya wapi hayo mkuu? Maana mie niliona duka moja pale Shauri moyo ana hizo engines ila sikumbuki ni duka gani. Si unajua pilipili usioila? Nenda kuanzia hapa usawa wa Al~haramain kwenda Machinga complex
 
asante nitafanya hivyoo
 
Back
Top Bottom