Zuu popote ulipo nakutafuta

Zuu popote ulipo nakutafuta

Aisee halafu Ndio wanasema watu wasile nonihinoo Kweli !!
 
uuu.JPG

wakuu acheni ubinafsi inamaana hakuna anayemjua huyu demu? yaani nimemaliza video zake zoooote youtube tafadhari mwambieni popote alipo ataua mtu kwa mawazo. ZUU kama upo humu njoo pm tafadhari
 
View attachment 1212404
wakuu acheni ubinafsi inamaana hakuna anayemjua huyu demu? yaani nimemaliza video zake zoooote youtube tafadhari mwambieni popote alipo ataua mtu kwa mawazo. ZUU kama upo humu njoo pm tafadhari
Ila kuna wanaume wana taste mbayaaaaa asee!yaani janamke kuuuuubwa kiuno kikuuubwa loh!!
Halafu unakuta ni kakaka kenye muonekano kama huu
Eric Omondi on Instagram_ _Champions----------(JPG).jpg

Alisikika #hater mmoja hivi
 
Ila kweli huyu manzi ni noma jamani, hakuna mwanaume atamuona asi sisimke
 
Ukimpata mzee senga basi huyu manzi umesha mpata kabisa
 
Back
Top Bottom