Nadhani wana Jf wenzangu mnamkumbuka El Sahaf, Yule waziri wa propaganda wa the then Iraq, Alikuwa akisema ati! Wanajeshi wa Iraq wanawazunguka NATO wakati nyuma yake kuna vifaru vya NATO na...
...huyu jamaa anakipaji cha kuchekesha...hatumii nguvu nyingi...ana maneno yasiyokwisha...."bata hata awe mchafu vip, atataga yai jeupeee"
moja ya maneno yake jana kwenye KILI MUSIC AWARDS...
Mbunge huyu alipokuwa anachangia hoja kuhusiana na sheria juu ya haki za wasanii na kazi zao. Alsema maeneo aliyokuwa anaish marehemu kanumba ni uswahilin hatari kwa Jk pamoja na Pm na wengneo...
MAAJABU! Katika hali isiyokuwa ya kawaida, kaburi la aliyekuwa nguli wa filamu za Kibongo, marehemu Steven Charles Kanumba ‘The Great' limeanza kuweka nyufa na kutitia ikiwa ni siku 5 tu...
Jamani leo si ndo tarehe kama aliyozaliwa 'mchumba wa kanumba'? Sio mbaya kama tukimpa pongezi zake za kutimiza miaka 17<18 ya 'mafanikio' sijui huko 'fox river' alipo kuna jf!
Jamani nimesoma hii leo from UK's newspaper, Suge Knight akiongelea kuhusu Tupac baada ya 'kuonekana' akiperfom na Snoop pamoja na Dr Dre majuzi huko USA.
Tupac could still be alive, according to...
Baada ya kurudi Bongo akitokea Sudan Kusini alikokwenda kupiga show kwa mara ya kwanza japo wamekua wakimwalika toka zamani, AY ameamplfy kwamba hakua na hofu yoyote kwenda kwenye hiyo nchi ambayo...
It is a pity kuwa nchi nzima na Rais wetu, PM, etc wanashabikia uzinzi. Huyu Marehemu (RIP) alikuwa katika matendo yasiyo mpendeza Mungu, lakini hayo yote Tanzania hawayaoni.
Huyu alikuwa...
Siku za karibuni nilisikia kuwa anaumwa sana, ana uvimbe tumboni ambao unakua kwa haraka. Pia wasanii wenzie walifanya harambee ktk ukumbi wa Amana, Ilala ili wachangishe hela apelekwe India kwa...
Jana wakati ommy dimplez anapokea tunzo yake,diamond alitoa ushuhuda kwamba mungu mkubwa,yeye ndio aliyevumbua kipaji cha ommy lkn alivyoenda kwa producer kumu-introduce huyo producer(Bob Jr)...
Wana jf kuna habari mpya sinazoendelea huku arusha ambazo mm nimezihakikisha. Kwa mujib wa msichana ambae anaishi maeneo ya bomang'ome wilaya ya hai....inasemekana msanii wa muziki wa bongofleva...
....huenda mie cjui ki inglish vizuri...lakini najiuliza huyu DIVA kwa hyo sentence alikua anamsifia Barnaba au ana mtusi....kaongea like 45 mins past...
Au ndo ulimbukeni wa kuchukua expression...
Kamati ya mazishi imemtaja m1 wa shemeji aliyemuoa dada yake kanumba ndiye aliyekwapua sh 2.5m na kutokomea nazo huku akitumia gari la kifahari la kanumba Lexus V8 yenye thamani ya sh...
Madeni ya MoHits utayalipa mwenyewe! Don Jazzy
Utarudisha ile Bentley niliyokununulia?DBanj
Waanzilishi wa lebo ya MoHits ya nchini Nigeria, Don Jazzy na Dbanj, wanarushiana...
Mazishi ya Tanzania top most celeb, Stephen Kanumba, yamegharimu Shilingi za Kitanzania, Milioni 60 kasoro 2!.
Kwa mujibu wa taarifa ya M/Kiti wa kamati ya mazishi, Mtitu, gharama halisi za...
Nimesikitishwa na kauli zilizotolewa na wabunge Halima Mdee (CHADEMA) na Esther Bulaya (CCM) kusema kwamba wanataka KUMNASUA Elizabeth Machael (Lulu) anayetuhumiwa kusababisha kifo cha Kanumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.