BONDIA CHEKA amemshinda Mpinzani wake Maga Maugo jana jumamosi kwa tko na kukabidhiwa zawadi ya gari furaha ambayo hakudumu nayo sana baada ya kugonga mtu na aliyegongwa kufariki.....
Mimi binafsi nadhani Hakuna kitu kama hicho wakuu...kama wewe na Lulu na watu wengine labda wenye mtazamo kama wako mnaona mahakamani ni sehemu ngumu sana you are all mistakenly...yuko pale kwa...
Kifo si kitu chema hata kidogo. Lakini kitendo cha Lulu kusababisha mauti ya Kanumba ni dhahiri kuwa amewakilisha mateso ya wanawake wengi duniani.
1. Je, ni wanaume wangapi wako tayari wapenzi...
Akichezesha taya na mwandishi wetu wa GPL, platnum aka sukari ya warembo alikiri kwamba anatoka kimapenzi na mchuchu huyo(Mamaa wa kidoti), diamond alisema anampenda na hakuna kitu kitachoweza...
Leo ni B'Day ya Mwanaharakati Sugu, pia ni B'Day ya Bwana Ruge..... Teh! Teh! Pia ni B'Day ya Kazi Duniani (Mei Mosi).!.......Nipo kweye kona naangalia ladha ya hii tamthilia...
Wakuu vinega ni hatari tupu hawa jamaa, sijui ule usuluhishi uliishia wapi?
Nimesikiliza "preview ya michano", Baadhi ya mistari inasema
" tuna nguvu ya hoja,
wao wanajikongoja,
wamefungua...
wadau Diamond anazidi kufunika ndani ya bongo...muda sio mrefu atashuka na helkopita stejini,umati ni mkubwa sana hapo Darlive.
Inaonyeshwa Live na Clouds tv.
Wakuu, pamoja na uzee wangu... huyu dogo Diamond namkubali sana, i ahve all his albums,videos na pia review
Nimesikiliza album ya mwisho, ni nzuri sana, lakini nahisi imemiss BOB JUNIOR touches...
Naskia huyu jamaa ametua Clouds.Binafsi naona Atleast wamepata mtangazaji maana wana watangazaji wachache sana, wengi ni waropokaji na wauza sura.Huyu ni mmoja wa watangazaji mahiri wasioweka...
Was mahatma gandhi gay?
Gandhi old and young
He was a bisexual (showing physical attraction both towards men and women).
Mahatma Gandhi was bisexual and left his wife to live with a...
jamani huyu mtoto mbona mtata sanaaa...........
huyu binti mashalaa amejaaliwa si0 siri.
kwa wale msiomfahamu mchek kwenye video za Masogange-Belle 9 au Magubegube ya barnaba,,,,kwa wanaoMJUA...
Wakulu Heshima Mbele,
Ni kawaida yangu kipindi cha sikukuu kuwasiliana na watu walioko nyumbani kujua khali ya maisha ikoje na kuwatumia japo pesa kidogo kwa ajili ya kusherekea sikukuu ya...
Jamii yetu imekuwa ikivutwa na hisia zaidi kuliko kuangalia uhalisia wa jambo. Tumekuwa tukitumia pesa nyingi sana kwa kuchangia shughuli za harusi, mazishi, happybirthday part, kumtoa mtoto...
By Judith wambura(Lady Jaydee blog)
JUNE 28, 2009....NILIWAHI KU POST HIVI
SATURDAY 27TH JUNE 2009, MZALENDO PUB NA SWEET EAZY
Diana Mapromise, Dj Venture, Jide na Rachel Temu (Wifi) Mzalendo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.