KWA WAKAZI WA TABATA NOW TUNA FAN PAGE YETU KWENYE FACEBOOK, INAITWA (Tabata,Dar es salaam) profile picture yake ni kapicha ka sungura wa pinky.......CYO MBAYA UKIJIUNGA NA PAGE YAKO YA MAKAZI...
Donna Summer, aliyepata umaarufu kwa vibao vya disco kama I Feel Love, Love To Love You Baby na Love's Unkind, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 63.
Summer alikuwa...
Wadau nimemwangalia sana Lulu mbona kama ana mimba au kanumba alifanya mambo hebu muangalie wadau huyu hapa kama alivyopigwa picha leo
KESI YA LULU LEO KWA MALA YA TATU
:Ombi la wakili wa Lulu...
Leo ni siku nyingine tena Dunia inaadhimisha kifo cha mwana mapinduzi ( mtetezi wa haki) kupitia Musiki.
Bob alichochea hisia za ukombonzi miongoni mwa wanamapinduzi na bado anaendele kazi yake...
kweli mnafanya biashara lakini MNABOA,kwani hamna kingine cha kuandika zaidi ya 'kanumba'?.Mbaya zaidi mnatumia story za kutunga, mkijua wateja wenu (wanawake) vichwa maji.BORA mtunge stori kuhusu...
Gwiji wa Hip Hop, aliye pia Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu' atakuwa na usiku maalum kwenye Ukumbi wa Dar Live, uliopo Mbagala Zakhem, Dar es Salaam.
Sugu...
Ukoo wa Stiven Charles Kanumba unazid kupotea baada ya Baba yake mkubwa na Marehemu Stiven, Mzee Alan Kanumba kufariki dunia usiku wa kuamukia jana huko Shinyanga Mjini!
Juzi nimesikia habari kwenye kipindi cha heka heka kinachoongozwa na mtangazaji gea habibu kwamba kuna msanii kabaka na kumlawiti msanii mwenzie ama kweli tutackia mengi mwaka huu na maovu...
Jamani mastaaa wetu poleni na mishe mishe za misiba na wagonjwa....
hapa bongo kuna masupastaa wa nyanja mbali mbali ambao wanang'ara kwa wigo tofauti. lakini amini nawaambia msikimbilie majina ya...
MAMA mzazi wa supastaa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Lulu, Lucresia Karugila anadaiwa kuikimbia nyumba anayoishi kwa kile kilichoelezwa ni kuwakwepa mashabiki wa marehemu Steven...
R. Kelly–Radio Message Lyrics
This is a radio message to my baby,
And I'm begging her
Come back, come back,
Come back, come back,
Come back
I'm sorry that I made you cry
I'm sorry for the...
Kuuliza cyo ujnga jaman ni kwli kwmb Diamond n Jokate are matching? Au hao mabnt wanajitoa ufahamu wamsaidie kula hzo pesa thn waondoke? Its realy unusual!
Wanamuziki wa kundi la Bracket la Nigeria Ozioko Nwachukwu a.k.a Vast na Ali Obumneme wamepanga kumshitaki msanii anayechipukia kwa kasi nchini Uganda, Ray wa Big Tym Crew kwa kuwaibia wimbo...
ni kijana mwenye muono wa mbali, busara ya hali ya juu, uwezo wa kujenga hoja, anakubalika na kada zote hata ccm wanamkubali, mtu mwenye uchungu na taifa lake, mzalendo. ni juzi tu ameweza...
As the number of visitors to Uganda continues to grow, so does the sex tourism and the potential for exploitation that comes with it. Sex tourism is one of the negative trends that come with...
Exclusive interview na Violeth Mzindakaya Mjumbe wa NEC.
wadau blog yetu ilifanikiwa kukutana na mjumbe wa nec violeth mzindakaya nyumbani kwake na kufanya naye interview ana yapi ya kusema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.