Wakuu,nauliza yuko wapi na anafanya nin huyu superstar wa bongo,kijana handsome,anaependwa na totoz za ndani na nje ya nchi{hemed Phd},sijamsikia muda mrefu,au nae keisha amua kustaafu music na...
wanajavi JF naomba kujibiwa hilo swali, mwaka huu 2012 nimeanza kufuatilia makala na speech za mhe. zitto kabwe. nikawa najiuliza huyu mheshimiwa je ana mke yaani kaoa. nikishapata jibu...
LIVE GABRIEL ZAKARIA Mtangazaji wa TBC-1 akiwa LIVE katika Chinese Central Television (CCTV) kuzungumzia masuala ya Ushirikiano wa China na Afrika.
Kwa kweli TBC Jamani wawe makini wanapotuma...
Wilfred amekuwa mtanzania wa kwanza kuweka historia ya kupanda mlima mrefu kuliko yote duniani.Amefika kileleni leo 19/05/2012 saa 3 asubuhi.
HONGERA SANA BWANA WILFRED MOSHI KWA UJASIRI NA...
Msanii wa filamu za maigizo nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu', leo amepandishwa tena kizimbani mara ya tatu katika kesi ya mauaji ya Kanumba inayomkabili ambapo mawakili wanaomtetea...
WanaFJ, najua wengi mtanishangaa lakini nadhani huu ndiyo muda mwafaka wa mtu huyu kufahamika. Kwa muda mrefu sasa kama miaka isiyopungua kumi nimekuwa nikisoma makala za huyu mtanzania anayejiita...
LaDonna Adrian Gaines (December 31, 1948 May 17, 2012[1]), known by the stage name Donna Summer, was an American singer-songwriter who gained prominence during the disco era of the 1970s. She...
STAA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond', ameanika siri za warembo, Wema Sepetu na Jokate Mwegelo. Diamond, amebainisha ubora wa warembo hao kimapenzi, huku akisisitiza kwamba mpenzi wake...
katika makala ya millard ayo jana rafiki yake kanumba mkubwa ambaye pia ni docta wa kanumba ameeleza kwamba kanumba alimpiga sana lulu hata alikua na alama sema ndiyo bahati mbaya alipomuachilia...
mfano mzuri ni movie inayorushwa mda huu kupitia tbc yaani ni kichefuchefu kabisa !
Yaani mtu anaigiza kujiua hata mtoto mdogo anajua hawa wanacheza !
Waigizaji hovyo !
Story hovyo !
Yaani...
Naomba wadau mnitoe tongotongo kwenye hili,binafsi sielewi ni kigezo gani kinafanya mtu awekwe kwenye wikipedia maana nikiangalia mastaa wengine wa bongo sionagi wakiwekwa ila nimejaribu kumgoogle...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.