Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kila mahali au kijiwe ninachokaa hasa mida ya asubuh na jioni nasikia watu wakimsema huyu bwana kwamba siku hizi hawataki kusikiliza kipindi cha Jahazi eti kwa sababu Kibonde amekua akitetea mambo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
source global publishers WAPENZI masupastaa ambao iliwahi kuelezwa kwamba wanapendana sana, Joachim Kimaryo ‘Master Jay’ na Sarah Kaisi ‘Shaa’, wanadaiwa kumwagana rasmi. Chanzo chetu cha habari...
0 Reactions
23 Replies
10K Views
Dj wa kwanza wa kike nchini Tanzania Fatma Hassan aka Dj Fetty wa Clouds Fm amepewa heshima ya kuwa Dj wa kwanza wa kike kutoka Afrika Mashariki kutumbuiza kwenye mashindano ya Big Brother Africa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari ndo hiyo. Kumbe wasanii wa bongo wana hela. Habari ndo hiyo hutaki unaacha. source Radio pendwa na magazeti pendwa.
0 Reactions
60 Replies
10K Views
1.DJ BONIE LUV 2.DJ VENTURE 3.DJ MAKAY NI BABA M1 NA MAMA M1. Source:mkasi eatv na salama jbr
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Hv ndugu yetu Vengu wa orijino komedi anaendeleaje?je bado yupo India?mbona hatupewi maendeleo ya afya yake?ningependa kujua kutoka kwa wenye taarifa za ukweli na uhakika,Ahsanteni
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Damn.... What does the woman who has everything get the man who has everything for his birthday? If you're Kim Kardashian, you buy your boyfriend Kanye West a rare $750,000 Lamborghini. Ball so...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimepata taarifa (za uhakika) kuwa Mmiliki wa kampuni ya Aurora Security bwana Ally Suleyman amefariki dunia. Alonipa habar hizi ni ndugu yake wa karibu....
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Dada kashaanza kupiga msuba kwa kwenda mbele! Yaleyale ya kina marehemu Whitney Huoston na kina Michael Jackson! Na hapa ni baada ya kuzidiwa na madawa ya kulevya na kukimbizwa hosptali.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Closed
Sekion Devidi kiongozi wa kundi la Orijino Komedi anasema: Nimezungumza na SAJUKI na mkewe Wastara kwa dakika 15;Dakika moja iliyopita! Afya yake inaimarika na anaweza rejea Tanzania mapema...
3 Reactions
28 Replies
5K Views
  • Closed
Mafisango uso kwa uso na kanumba kanumba: vipi jembe? Shwari huko? Mafisango: huko sio shwari jembe, watu wanagombea mali zako vibaya kanumba: vipi lile v8 langu? Mafisango:hilo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hasheem Thabit, mtanzania mwanamichezo mwenye mafanikiozaidi Tanzania, amegonga Bajaj. Ni kwamba alikuwa akijaribu kuipita gari iliyombele yake, bila kujua kumbe mbele ya hiyo gari kulikuwa na...
1 Reactions
48 Replies
12K Views
Wana JF hebu nifahamisheni maana yanaweza kuwa majungu, ati RC wa Mwanza ana uhusiano wa kidugu na Vicky Kamata. Kama ni kweli JK kiboko.....
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Stori Imelda Mtema na Erick Evarist | Gazeti la Uwazi PENZI motomoto kati ya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond' na Mrembo Nambari 3 wa Tanzania 2006, Jokate Mwegelo...
0 Reactions
30 Replies
8K Views
Msanii mkubwa maarufu mwenye jina katika bongo fleva O-ten ametuhumiwa kuiba simu alipokuwa kwenye show Geita amehojiwa mchana huu katika redio makini clouds fm amekiri kuchukua simu hiyo nokia...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
diamondi amwambia bob kwamba anafaa kuwa mcheza shoo wake, bob amwambia diamondi anafaa kwa udalali sio mziki.! Habari zaidi Shafii dauda blog.
0 Reactions
37 Replies
18K Views
Sugu akisikiliza shangwe kutoka kwa mashabiki wake. Sugu akiwarusha mashabiki waliofurika ndani ya Dar Live. Mbunge wa Arusha Mashariki (Chadema), Joshua Nassari nae akitoa 'verse' kuupamba...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
CONGRATULATIONS WILFRED!!! First Tanzanian to reach the top of Everest!!!! Wilfred reached the top at 9.00am (local time) 19 May 2012. Saturday 19th May – AC DISPATCH: Peter, Wilfred &...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Yaani kumbe hizo photo shoot zao wanafanywaga namna hii?? aiseeee huu ni udhalilishwaji wa hali ya juu.....nilikuwa nasikiaga sikiaga aiseee kumbe kweli eeeh!!!!!! mamaaaa yangu hebu angalieni...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Back
Top Bottom