Daktari aeleza kilichomwua Kanumba
NI BAADA YA JOPO LA MADAKTARI MUHIMBILI KUMFANYIA UCHUNGUZI, BABA YAKE AZUNGUMZA, WABUNGE WAANGUA KILIO
Florence Majani na Suzzy Butondo | Mwananchi...
MOJA KATI YA WAANZILISHI WAMTANDAO WA FACEBOOK CHRIS HUGES AOA SHOGA....... .
Baada ya mmoja wa waanzilishi wa mtandao wa kijamii wa facebook Chris Hughes kufunga ndoa ya jinsia moja na mpenzi...
Wema Isaac Sepetu na mama yake, Mariam Sepetu hawapo vizuri tangu yale mahojiano aliyoyafanya mzazi wake huyo runingani wiki mbili zilizopita akiwachana marafiki wa staa huyo mkubwa wa picha za...
leo kwenye xxl ya clouds fm
msanii wa hipohop kutoka Arusha, amefunguka na kusema kwamba hiyo show ilikuwa poa sana na hakuna vurugu zilizotokea..
Amesema kama wapo waliorusha mawe basi...
Mama yake Wema Sepetu, Bi Mariam Sepetu afunguka kwa ghadhabu akiwatakia wale wote ambao wamekuwa wakifuatilia maisha ya mwanae hasa waandishi wa habari za Udaku waache mara moja vinginevyo...
Madaktari wakiwa wameshika mikono huku waiimba nyimbo za kuashiria umoja katika mgomo wao unaoendelea jijini Dar es Salaam jana.Picha na Fidelis Felix
Geofrey Nyangoro
SAKATA la madaktari...
Nimekuwa nikifuatilia kwa muda utumbuizaji wa wasanii wetu stejini hasa wa bongo fleva na kwaya.kwa kweli wanaboa sana na kutia kinyaa _kinachofanyika ni ***** mtupu
1.wengi hawawezi kuimba...
Jana wakati naangalia ufunguzi wa BBA 5 All Stars washiriki waliulizwa siri zao na bila hiyana Mwisho akatoa yake kuwa aliwahi kuwaDATE wasanii wa kike wawili kwa mpigo hapo ndio kumbukumbu zangu...
Baada ya kuona maisha ya DSM yanamzingua hasa baada ya kujaribu kila fani kuanzia kwenye muvi hadi mziki na kuona hakulipi, yule bingwa wa mapilau toka Big Brother Africa, Richard hivi sasa...
Kumbe wengi wenu mmekimbilia mliko kutokana na kukosa malezi ya Baba na Mama........... nimewasoma na ukweli ndio huo! hamna maadili kwa hiyo hamuwezi kuwa vioo kwa jamii kwani wengi wenu mmejilea...
Hawa wamanga wa Offside Trick wanapenda kweli kukashifu madada wa kimatumbi kwenye video za laana. Sasa basi waanze kutuwekea dada zao wa kimanga tuone viuno vyao. Tumechoka na viuno vya...
Nasikia huyu boss wa Tip top connection ni mchawi balaa.... huwa anatembea na kibegi chake hivi hakiachi hata awe anaenda wapi..
Jaribu kuchunguza hata wewe.. msanii yeyote atakayeingia tiptop...
dogo janja atua jijini dar, ajiunga mtanashati entertainment:
.........
Hivi hawa watu wanapata wapi huu muda? Yaani unafunga safari all the way kuja kumpokea mtu mmoja, tena muda wa kazi? Bado...
Hao watu wamefariki, safari yao ya duniani imeisha mengine anayajua Mungu huko mbele ya safari. Lakini huku bado tuna vimbelembele mara maaskofu mara wachungaji wanaotaka kutudanganya kuwa hawa...
Kama itabainika lulu yuko under 18 baaasi!
Baada ya kufuatilia masuala ya sheria ya haki za mtoto na wajibu wa wazazi nimeebaini kwamba wazazi wa lulu watakuwa na shitaka la kujibu...mimi kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.