Nimewasikiliza gerard hando na paul james leo na power breakfast wakiongea an tom mlambo wa super sports aiseeeeeeee.......hawa jamaa wapewe ufadhili wakanoe kingreza savanna inter schools.....
KESI ya msanii wa fani ya filamu nchini, Elizabeth Michael maarufu Lulu, imeahirishwa hadi Agosti 20 mwaka huu, kutokana na Jaji anayeisikiliza, DK Fauz Twaib, kuwa na majukumu mengine.Akiahirisha...
huyu demu tokea alivyumbuliwa na H. Baba kwamba anamtuhumu H.Baba hajui mapenzi kumbe anataka aliwe tiGO katulia tuliii ka maji ya mtungini vile,kumbe mombasa raha eeeh?,tujuze yakheeeee
Msanii wa toka kundi la vichekesho la Original Komedi, Mpoki amedondosha pini lake jipya liitwalo 'Mademu'.
Wimbo huo ambao unazungumzia tabia za mademu tofauti tofauti kutoakana na sehemu...
Niliishi pale Dar kwa miaka 5 bila kufahamu hata salamu ya Kizalamo. Sikuona ajabu sana kwa kuelewa sisi ni waswahili hata mtaani ni Kiswahili.
Ajabu ni hii; Eti Hashim Thabit, kijana aliye...
Na Freddy Macha
KILA mtu anajua kuwa harusi ni tukio muhimu katika maisha ya mwanadamu na ni tukio ghali zaidi kuzidi yote. Lakini kwa Majuu, gharama za harusi hazisemeki. Si ajabu kuona watu...
Fina Mango Mtangazaji wa Redio aliye Jipatia umaarufu mkubwa katika utangazaji kwa kupitia Kipindi cha Power Breakfast cha Clouds Fm Miaka Miwili Iliyopita sasa arudi tena hewani baada ya kuacha...
Zuwena Mohamed Shilole.
MSANII wa filamu na muziki wa Pwani, Zuwena Mohamed Shilole ameponea chupuchupu kuvuliwa nguo barabarani maeneo ya Darajani mjini hapa baada ya kukatiza mitaa ya...
Mama Kanumba, Flora Mtegoa.
Mama Lulu, Lucresia Karugila.
Marehemu Steven Kanumba.
Elizabeth Michael Lulu.
CHOKOCHOKO zimeanza! Huku kesi ya kifo cha mwanaye ikiendelea na Elizabeth...
Kuna mambo mengine huwa tunayachukulia poa ila yana umuhimu sana wa kuyazingatia. wasanii wetu inabidi wajipange tena sana., Jana ndani ya HotMix show ya EATV walikuwa na msanii anayeitwa sam wa...
Nakufagilia sana Ray jinsi unavoigiza bu sifagilii staili yako ya kushindana na kanumba.Unasubili kanumba afanye na wewe ufanye,nasikia kanumba alikuwa akinunua gari fulani na wewe lazima ununue...
Tanzanian supermodel Miriam Odemba is back in the game in a big way. The mother of one who had taken time of the run way has quickly got her 36-25-36 shape back and is already rubbing the loins of...
Yule nguli wa mambo ya Corporate relations tulifanya naye Kazi Tanga Cement then akaenda Barclays ametutoka usiku wa kuamkia leo.
RIP Kati you have gone to soon
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.