Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kama ww ni kizazi cha Supra hii haikuhusu kabisa. Late 80's hadi Early 90's Mzee Jangala na kundi lake wakiwemo Mzee Kagunga ktk michezo ya redio RTD ikidhaminiwa na Pombe Ya Kibuku. Long tym sana...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Mpaka kufikia muda huu Wenzetu Kenya wameingia Nusu fainali sisi Je?? Hatupo poppet hata 30 Bora hatupo!! Mrembo peles aliyeleta heshima hapa nchini na barani Africa ni Nancy Sumari winging kazi...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Naomba mnisaidie wanajopo hivi kuwa shombeshombe ni bahati? maana juzi nilikuwa naangalia Fnl East africa tv, nikamsikia Nuru anamuuliza mgeni aliyekuwepo kwamba anafikiri mwaka huu ni wa...
0 Reactions
29 Replies
7K Views
Nafikiri Salama Jabir is the best presenter katika hizi talk shows za hapa bongo. Naangalia kipindi chake cha Mkasi kuna swali amemuuliza Dimond very trick na Diamond akaingia kwenye kumi na nane...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Kwa masikitiko namuanzishia uzi huu NGULI wa hip hop TZ..anaepotea ktk game na kutuachia huzuni kubwa mashabik wake... Amekua akitoa ngoma zisizo na maana recently ila ni jina lake tu na heshima...
0 Reactions
27 Replies
8K Views
Yule aliyekuwa Maarufu miaka ya 2002 na kinaBi Staa, Kibakuli, Mhogo Mchungu, Kingwendu, Bi Hindu, Sandra, Nora, Swebe kwenye sanaa za maigizo, alienda kuishi South Africa na sasa karudi Bongo!
0 Reactions
16 Replies
13K Views
Saturday, August 18, 2012Maalim Seif aendelea na ziara zake kuwatembelea wazee na wagonjwa Bi Fatma bint Baraka maarufu Bi Kidude akisisitiza kwamba yeye ni mzima hasa kwa wale waliojaribu...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Koffi Olomide, ambaye ni mwanamuziki mashuhuri barani Afrika ameshitakiwa kwa kumpiga Mtayarishaji wake wa muziki. Mwanamuziki huyo alikamatwa na kufungiwa katika kituo cha polisi na kufikishwa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Inaonekana mlimbwende muigizaji anajifua kutinga Big Brother Africa na anaomba ushauri. Sijui sana vigezo wanavyotumia wapigakura BBA wakilinganisha ushiriki wa mtu na tabia yake. Mnaomjua Wema...
1 Reactions
40 Replies
9K Views
Hivi ni nani ni miss tz 2012?
0 Reactions
31 Replies
5K Views
nani zaidi kwa VIJINENO?!!
0 Reactions
28 Replies
12K Views
Huyu jamaa ki-ukweli alianza kujitanua sana katika muziki,nakumbuka baadhi ya nyimbo zake kama ule anaosema "ewe baba mwenye nyumba sio uwe mkaa wa moto" jamaa kuna nyimbo kibao sana ambazo...
1 Reactions
23 Replies
16K Views
Leo nimeingia kwenye blog ya Sinta nimekuta ameweka picha ya Ney akiwa amejisexisha maana jamaa anauza muscles na boxer. Cha kunishangaza naona maneno yaliyoisindikiza ni kumchana. Sijui...
0 Reactions
53 Replies
11K Views
Chanzo EATV-mboni show
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna tetesi kitaani kwamba wema sepetu kalazwa hospital. Ikumbukwe kwamba mpenzi wake wa zamani naye anaumwa vilevile. Kitu ambacho sijaweza amini ni kama walipotoka kigoma walienda kucheck...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Naona vijana wengi wastaa wa bongo wanaandamwa na kashfa na maskendo kila kukicha. Wengine uzinzi, wengine utapeli na wengine walifikia kuchomana visu. Nini kinapelekea hali hiyo? Kwani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Angalia kwa makini vidole vya mkono wa kulia wa Wema Sepetu, Anaonesha ishara ya Wajenzi Huru (Freemason) lakini anafanya hivyo kijanja sana maana kageuza kiganja. Alama aliyoionesha haina...
0 Reactions
80 Replies
95K Views
Lile kundi la mziki wa boringo lililo jizolea umarufu mkubwa hapa bongo na nje ya nchi la mapacha watatu hatimae limesambaratika baada ya mmoja wao kujitoa. kundi hilo lilikua linawajuhusu...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
kaka yangu martin kadinda pamoja na kuwavesha diamond,wema,hemed,ommy d,.......vipi unamvesha na wayne rooney?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom