Zanzibar ZANZIBAR First Vice President Seif Sharif Hamad, on Saturday, visited to comfort the prestigious WOMEX award winner Fatuma binti Baraka (aka Bi Kidude), who has been sick for several...
Jana niliangalia kipindi cha mkasi kinachooneshwa EATV ambapo jana mgeni wao alikua Zembwela na host wake kama kawaida alikua Salama Jabir.
Kiukweli zembwela alifunika sana hasa katika uwezo wa...
Mh Vick amemwomba waziri wa maliasili na utalii kushirikiana na Victoria Foundation kuwaleta watu maarufu duniani hapa nchini ili watu wengi waje na kuongeza utalii.
Ameyasema hayo leo bungeni na...
MISS aliyetwaa nafasi ya 2, 2012 katika shindano maalum la mwaka huu, Hamisa Hassan, anadaiwa kuichafua Miss Tanzania kufuatia kwenda kushiriki kinyemela Shindano la Miss University Africa 2012...
bella yuko juu wakuu.wimbo wake fulan hivi siujui jina ila anaimba hivi "uhhuhuhu usiliee.........."kamshirikisha banana.
aisee bella uko juu,mutu ya watu,takuja msasani next wk unlushe.
Dogo Janja,we bwana mdogo sana ndani ya medani ya Music....
Nakushauri komaa na Elimu,itakufikisha mbali,uwezo wako wa utungaji wa mashairi utakuwa...kikubwa sasa uangalie na Maisha ya madogo...
Congolese music star Koffi Olomide, who was recently charged with rape in France, was given a three-month suspended prison sentence Thursday for injuring his producer in a fight in a Kinshasa...
K Lynn whose real name is Jacqueline Ntuyabaliwe is a singer and former Miss Tanzania. Now the gorgeous beauty has decided to take another step further and become a mother.
I would say she...
Nawasalimu wanajeiefu wote, straight to ze point ebwana huyu msanii anayeitwa WAKUVANGA wa kundi la ORIJINO KOMEDY huwa sioni anachokifanya zaidi ya kunikera!! kuchekesha kwenyewe hajui,anaforce...
Nafkiri sasa umefika mbali
sana ww Mahmoud, kama
hujui kitu ni bora uulize,
nani kakwambia kwamba
Maestro ndie final kwa
mambo yote ya ufundi ya klabu ya Simba? usijifanye
unajua kuchanganua...
Mwana FA ..... Hamis Mwinjuma
- Muheza Tanga
AY ...... Ambwene Yesaya
- Baba Mnyarwanda Mama Mnyakyusa- Mbeya
. Huyu ana duka la nguo Sinza
Sugu.... Joseph Mbilinyi- Asili yake Songea, baba...
Akiandika kwenye profile take FB anasema:
Friends,
On the 1st of September 2012, I will officially start a new wave of my career in Johannesburg South Africa, at Vodacom Group. I have had a...
Kuna Habari zinasema kuwa ni ofisi za benchmark production waandaaji wa Bongo Star Search aka BSS zimeungua kwa moto, lakini pia Excutive Director wa Benchmark Production Madam Rita kaibiwa pochi...
Muda wa wakongwe wa bongo flava kuacha game au kuzidi kupata stress unazidi kuwadia!!nimebahatika kukiona kichupa kipya cha ommy dimpoz kilichofinga south africa na adam juma wa visual lab!ni...
hii imesemwa na ney wa mitego kwenye take one ya zamaradi kasema kuwa wasanii wa bongo movie wanajiuza kuanzia laki nne mpaka sita
na ndio maana kawaita makahaba wa viwango vya juu
Namzungumzia The Legendary. Kwa wale mnaofuatilia Series ya How i Met your Mother nadhani mtanielewa vyema.
Kwa kifupi huyu Bwana amejipatia umaarufu mkubwa miongoni mwa mashabiki wake kwa...
Huyu Shigongo ni mtu wa ajabu sana!
Kwanza amemuomba msamaha Jose Chamelione na kuahidi kutorudia u pumb avu alioufanya. Upande wa pili, kwenye gazeti lake la Uwazi ameandika habari yenye lugha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.